Habari za Jumla
14 Disemba 2022, 9:44 um
Kivuko cha Pangani kuanza kufanya kazi kwa saa 18
Hatimaye kufuatia hitaji la muda mrefu leo hii Serikali Wilayani Pangani Mkoani Tanga imetangaza kuwa Kivuko cha Pangani-Bweni kimeongezewa muda wa saa 2 za kufanya kazi tofauti na muda wa awali ambapo klikuwa kikifanya kazi kuanzia saa 12 Asubuh mpaka…
13 Disemba 2022, 11:14 mu
Bandari Mtwara inavyokabiliana na vumbi la makaa ya mawe
na Mc Kaluta Mizinga sita ya kumwaga maji (Misty Cannon Sprayer) imefungwa katika bandari ya Mtwara ili kudhibiti vumbi la makaa ya mawe kutoka katika maeneo hayo. Lakini pia magari ya kumwaga maji na kunyonya vumbi yanafanyakazi kutwa nzima ili…
12 Disemba 2022, 2:54 um
Moto wa ajabu wateketeza Nyumba
Inspekta Edward Lukuba Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoani Geita limewataka wananchi kuendelea kutumia namba ya 114 kwa ajili ya kutoa taarifa za majanga ya moto na matukio yanayohitaji uokozi haraka kwakuwa wengi wao wamekuwa wakitoa…
12 Disemba 2022, 2:26 um
Serikali yaahidi kuendeleza ushirikiano na viongozi wa dini
Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na viongozi wa Dini hapa nchini kwakuwa wamekuwa msaada katika kuchochea shughuli mbalimbali za maendeleo pamoja na kupambana na vitendo vya Ukatili wa kijinsia katika jamii. Kauli…
12 Disemba 2022, 11:00 mu
Mchungaji afariki Dunia akidai atafufuka
Na: Mrisho Sadick: Katika hali ya kushangaza Mtu anaedaiwa kuwa Mchungaji alietambulika kwa jina la Abdiel Raphael mwenye umri wa miaka (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja kata ya Nyankumbu halmashauri ya mji wa Geita amefariki dunia kwa kile kilichoelezwa…
Disemba 11, 2022, 8:27 mu
Wananchi waondolewa hofu baada ya kuwepo kwa taarifa za kuweka sumu kwenye kisi…
Mhandisi Sanga akiwa Kijiji cha Ng’onde Kata ya Mlondwe Mhandisi Sanga akiwa Kijiji cha Ng’onde Kata ya Mlondwe Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga amewatoa hofu wananchi wa Mlondwe baada ya kuwepo taarifa za mtu kuweka sumu kwenye…
Disemba 9, 2022, 3:00 um
makete yapiga hatua kila sesta miaka 61 ya uhuru 2022
Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amesema maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanganyika ni msingi wa uhuru uliopatikana mara baada ya kutoka kwenye machungu makubwa ya utawala wa wakoloni ambao Taifa lilipitia. Ameyasema hayo leo akiwa…
Disemba 5, 2022, 2:19 um
Wazee Makete waishukuru Serikali kuelekea sherehe za Uhuru Disemba 9, 2022
Wazee maarufu Wilaya ya Makete wameishukuru Serikali kwa kuwajali katika huduma za kiafya na shughuli mbalimbali za kimaendeleo tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1961. Wakizungumza na Kitulo FM Disemba 5, 2022 katika mdahalo ulioandaliwa na Kituo hiki ukiwahusisha wazee…
4 Disemba 2022, 3:03 um
Uwepo wa Paka Dhahabu katika hifadhi asilia ya msitu wa Minziro, Tanzania
Msitu wa Minziro ni msitu mnene wenye bionuai ya kepee unaopatikana Tanzania. Msitu huu unaomilikiwa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) upo katika Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera. Makao makuu ya Ofisi ya Hifadhi ya Asilia ya Minziro yapo Bunazi.…
3 Disemba 2022, 12:47 um
Wananchi washauriwa kuunga mkono bishaa za wajasiliamali wa ndani
Wananchi kisiwani pemba wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wanawake ili kuunga mkono juhudi za kujikwamua na umasikini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Habiba Khamis Mohd mjasiriamali na muuzaji wa unga wa lishe wa Hopeca amesema imefika wakati sasa…