Radio Tadio

Habari za Jumla

26 April 2021, 8:57 am

Waziri Aweso azinguana na watumishi 8 wa maji Mwanza

Waziri wa maji Jumaa aweso ameangiza kuwekwa ndani watumishi saba wa maji mkoa wa Mwanza kufatia kuwepo na utekelezaji mbovu wa miradi ya maji wilayani Sengerema. Waziri aweso amefikia uamzi huo baada ya kukuta miradi mingi ya maji haijakairika wilayani…

24 April 2021, 16:07 pm

Mtwara ipo salama dhidi ya Kimbunga “Jobo”

Na Karim Faida Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania TMA imetangaza uwepo wa kimbunga jobo katika bahari ya Hindi, Baada ya kupokea taarifa hiyo kumekuwa na watu wanaosambaza taarifa kwenye mitandao kwamba kimbunga hicho tayari kimeshafika katika mkoa wa Mtwara.…

24 April 2021, 06:33 am

Mwenendo wa Kimbunga “JOBO”

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi. Kimbunga Jobo kimeendelea kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya nchi yetu ambapo kutokana na taarifa za uchambuzi zilizofanywa na Mamlaka kimbunga…

23 April 2021, 19:31 pm

TPB yatoa elimu kwa wavuvi

Na Karim Faida Wavuvi wa kijiji cha Namela kata ya Msangamkuu halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani hapa wamepewa elimu ya namna ya kupata mkopo Benki ili kujiendeleza katika shughuli zao kwa lengo la kuvua kivuvi chenye tija. Akiongea na…

23 April 2021, 2:58 pm

Rais Samia Suluhu afanya uteuzi mwingine

Na; Ikulu Mawasiliano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Hedwiga Swai kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania. Dkt. Swai anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi…

22 April 2021, 3:46 pm

Rais Samia akusudia kukutana na viongozi wa kisiasa

Na; Mariam Kasawa. Rais Samia ameliambia Bunge kuwa anapanga kukutana na viongozi wa kisiasa ili kwa pamoja waweke msimamo wa kuendesha shughuli za kisiasa. Rais Samia amesema hayo wakati akitaja namna anavyopanga kuboresha mazingira ya uhuru na demokrasia nchini Tanzania.…