Gesi
31 October 2023, 12:53 pm
Makala – Sera ya ushiriki wa wazawa wa manispaa ya Lindi kuelekea kunufaik…
Na Musa Mtepa Katika makala haya tunaangazia nafasi ya ushiriki wazawa hasa vijana wa Manispaa ya mkoa wa Lindi kuelekea kunufaika na fursa ujenzi wa kiwanda cha uziduaji na uchakataji wa Gesi cha LNG mkoani Lindi. kusikiliza makala haya Bonyeza…
31 October 2023, 11:43 am
Makala – Vijana wamejiandaaje na Fursa za uwepo wa wa Gesi Mikoa ya Kusini
Na Musa Mtepa Kipindi kinazungumzia uwepo wa shughuli za uzalishaji Gesi katika mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, je Vijana wamejiandaaje kukabiliana na fursa hiyo. Kupitia kipindi hiki tumezungumza na Victor Kaiza mkufunzi wa chuo cha Elimu ya mafunzo ya…
6 October 2023, 12:04
Tamasha la Maryprisca mama ntilie festival 2023 lawapa kicheko mama lishe Busoke…
Jukumu la kutunza mazingira ni la kila mmoja,wakati Dunia ikisisitiza kuachana na matumizi ya kuni na mkaa badala yake utumie teknolojia ya nishati gesi jamii inawajibu wa kutekeleza hayo ili kuepukana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Na mwandishi wetu…
6 October 2023, 10:55
Mitungi ya gesi inayotolewa inaambatana na utoaji elimu?
Mitungi ya gesi ambayo inatolewa na wabunge inalenga kupunguza athari za mabadiliko ya tabia ya nchi lakini inahitajika elimu ili kufikia lengo. Na Marko Msafili/Mufindi Kufuatia uwepo wa jitihada zinazofanywa na serikali katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi…
5 August 2023, 14:58 pm
Makala: Matumizi bora ya gesi ya kupikia majumbani
Na Musa Mtepa Makala haya yanasimulia matumizi bora ya nishati ya kupikia majumbani maarufu kama gesi ya kupikia, ambapo mkoani Mtwara tayari wananchi wanatumia mitungi ya kampuni mbalimbali za gesi kwa ajili ya kupikia pia tayari kuna mtandao wa gesi…