Radio Tadio

Elimu

10 Septemba 2022, 9:26 mu

TOZO ya miamala ya simu yasaidia upatikanaji wa madarasa

RUNGWE-MBEYA Kupitia TOZO ya miamala ya simu, Serikali imetoa jumla ya shilingi Million 12.5 kwa ajili ya ukamilishaji wa chumba Cha darasa katika shule ya Sekondari Ndembela one iliyopo kata ya Makandana. Aidha Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imetoa kiasi…

5 Septemba 2022, 11:08 mu

Wananchi Wa Ivungwe Walilia Shule Shikizi

IVUNGWE Wananchi wa Kitongoji cha Ivungwe A kijiji cha Kasokola wameulalamikia uongozi wa serikali ya kijiji kwa kushindwa kuendeleza Mpango wa kujenga shule shikizi katika kitongoji hicho licha ya kuchanga pesa na kufyatua tofali. Wakizungumza na Mpanda radio fm wananchi…

2 Agosti 2022, 3:08 um

Makarani na Wasimamizi 409 wa Sensa Wapigwa msasa

Jumla ya watu 409 waliopita kwenye usaili wa kusimamia zoezi la sensa ambao ni makarani,wasimamizi wa maudhui na TEHAMA wameanza kupigwa msasa kwa kupewa mafunzo juu ya ukusanyaji sahihi wa takwimu za watu na makazi wakati wa sensa itakayofanyika tarehe…

28 Juni 2022, 08:43

Chigongwe walalamikia ukosefu wa nyumba za walimu

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chigongwe jijini Dodoma wamelalamikia ukosefu wa nyumba za walimu pamoja idadi ndogo ya walimu katika shule ya msingi Ngh’ambala. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa changamoto ni idadi…

8 Juni 2022, 3:41 um

MADARASA NA MADAWATI BADO CHANGAMOTO KATA YA KASOKOLA

Kata ya kasokola iliyopo manispaa ya mpanda inakabiliwa na upungufu wa miundo mbinu wa madarasa na madawati katika shule za msingi na sekondari. akizungumza  na Mpanda radio fm katika kipindi Cha kumekucha Tanzania Diwani wa kasokola  Crisant  Andrea Mwanawima amesema…

30 Mei 2022, 16:34

Ujenzi wa vyumba vya madarasa waendelea Bahi

Na;Mindi Joseph.    Ujenzi wa madarasa katika shule za sekondari na Msingi kata ya bahi unaendelea ili kuhakikisha wanatatua changamoto ya Madarasa kwa wanafunzi. Akizungumza na Taswira ya habari Diwani wa kata hiyo Bw,Agustino Ndonuu amesema wananchi wameunganisha nguvu kwenye jitihada…

11 Mei 2022, 14:45

Belege waishukuru serikali kuboresha sekta ya Elimu

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Belege Wilayani Mpwapwa wameishukuru Serikali ya awamu ya tano pamoja na awamu ya sita kwa jitihada za kuboresha sekta ya elimu Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo kwa niaba ya…