Burudani
Januari 24, 2025, 10:59 mu
Wanachama CHADEMA Kahama wampongeza Lisu kwa ushindi
Tundu Lisu ameibuka kuwa mshindi kwa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA baada ya kupata kura 513 sawa na silimia 51.5% huku mpinzani wake wa karibu Freeman Mbowe 482 sawa na asilimia 48.3 na Odero Charles akipata kura 01%, katika uchaguzi…
Januari 18, 2025, 6:21 um
CCM Kahama watakiwa kuacha kampeni kabla ya muda
Baadhi ya viongozi wa chama hicho kuanza kufanya kampeni kabla ya muda wa kampeni kuanza Na Sebastian Mnakaya Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuacha tabia ya kuanza kupiga kampeni kwa nafasi…
17 Januari 2025, 10:52 mu
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi yafanya kikao na Wadau wa Uchaguzi Mkoani Mtwara
Hii inalenga kutoa elimu ya ujiandikishaji na hamasa kwa Wananchi kushiriki katika zoezi la kujiandikisha na uboreshaji wa taarifa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni katika mkoa wa Mtwara. Na Mwanahamisi Chikambu Tume huru ya…
16 Januari 2025, 13:40 um
INEC yafanya mkutano na wadau wa uchaguzi Mkoani Mtwara
Huu ni mkutano uliohusu mada kuu ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa wadau katika mkoa wa Mtwara uliohusisha viongozi wa vyama vya siasa, asasi za kiraia, makundi maalum, kamati za ulinzi na usalama, wahariri…
7 Januari 2025, 12:15 um
TADIO yawanoa wanahabari Jamii FM Mtwara
Mafunzo haya yametolewa na jukwaa la redio za kijamii Tanzania (radio tadio) kwa lengo la kuwakumbusha waandishi wa habari na watangazaji kufanya kazi kwa kufuata madili ya uandishi wa habari katika kazi zao hasa wakati wa uchaguzi mkuu. Na Musa…
18 Disemba 2024, 12:24 um
Wezi waiba kwenye maduka zaidi ya 11 Bunda
“Wametoboa signboard wamekunywa soda maganda wametupa hapo chini walinzi walikuwa nje hawakujua kilichokuwa kikiendelea“. Na Adelinus Banenwa Ni katika hali isiyo ya kawaida wezi waiba zaidi ya maduka 11 eneo la Genge la jioni mtaa wa Posta kata ya Bunda…
17 Disemba 2024, 15:14
Wahitimu vyuo vya Biblia watakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasisha amani nchini
Inawezekana ulikuwa unafahamu kuwa elimu ya kawaida ndiyo inapata nafasi ya kufanyiwa mahafali tu,sasa unapaswa kujua kuwa hata elimu ya Kiroho nayo inafanyiwa mahafali. Na Deus Mellah Wachungaji wanaohitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali vya Biblia katika ngazi mbalimbali wametakiwa…
15 Disemba 2024, 11:24 mu
Namtumbuka atahadharisha matumizi mihuri kinyume na utaratibu
Ni kikao kazi kilichoitishwa na Diwani wa kata ya Namtumbuka Al-haji Salumu Lipwelele kwa viongozi wa vijiji waliochaguliwa hivi karibuni chenye lengo la kufahamiana na wakuu wa idara waliopo katika kata ya Namtumbuka ili kurahisisha katika utekelezaji wa majuku yao.…
12 Disemba 2024, 13:44 um
Mwenyekiti CCM Mtwara Vijijini awataka wenyeviti wa vijiji kuwatumikia Wananchi
Hii ilikuwa sherehe za kumpongeza Mwenyekiti wa Kijiji cha Nyengedi Bi Lukia Mnyachi baada ya kuchaguliwa na Wananchi katika nafasi hiyo. Na Tatu Mshamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mtwara Vijijini, Nashiri Pontiya,amewataka wenyeviti wa vijiji waliochaguliwa kupitia chama…
6 Disemba 2024, 19:11
Wazazi watakiwa kutowaozesha wanafunzi badala yake wawaendeleze kielimu
Kutokana na baadhi ya watoto kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao katika ngazi ya Elimu ya msingi na sekondari wazazi waazwa kuto kuwaozesha bari wawapatie nafasi ya kwenda kusomea fani mbalimbli katika vyuo vya kati na vyuo vikuu. Na Hobokela…