Radio Tadio

Ajali

09/03/2026, 21:49

Kc-Mamire yaadhimisha siku ya wanawake duniani.

Na Marino Kawishe Kituo cha taarifa na maarifa kilichopo Kata ya Mamire Wilayani Babati Mkoani Manyara chini ya Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP leo kimeadhimisha siku ya wanawake duniani kwakutoa vitu mbali mbali kwa wanafunzi zaidi ya Ishirini na tano wanaosoma…

02/03/2026, 19:38

Babati Dc yazindua maadhimisho siku ya wanawake Duniani

Na Marino Kawishe Halmashauri ya wilaya ya Babati mkoani Manyara imezindua maadhimisho ya siku ya wanawake ambayo kiwilaya yatafanyika March 6 mwaka huu kwa kutembelea kituo cha kulea wazee kilichopo katika kijiji cha Saramee kata ya magugu na  kupanda miti…

26 Febuari 2026, 19:05

Getere aonesha kutoridhishwa kasi ujenzi baadhi ya miradi

Ameonesha kutokulidhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa zahanati ya Mahanga ambayo hadi sasa utekelezaji wake umesimama kutokana na uzembe wa watendaji Na Mariam Mramba Viongozi wa vijiji wametakiwa kushirikiana vizuri katika usimamizi wa fedha zinazotolewa na…

Febuari 14, 2026, 10:57 mu

Baraza la Madiwani Manispaa ya Kahama lapitisha bajeti ya bil. 70

Baraza la madiwa la Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limepitisha rasimu ya makisio ya bajeti shililingi bilioni 70 kwa mwaka wa fedha 2026/2027, fedha zitakazotumika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Manispaa hiyo. Bajeti hiyo inatarajiwa kukusanywa…

Febuari 8, 2026, 5:23 um

Msalala yatoa bilioni moja kwa vikundi vya wajasiriamali

Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Frank Nkinda  amewaasa wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri kuitumia vizuri kwa kuinua uchumi wao na zisiwe chanzo cha malumbano na ugomvi baina yao. Nkinda ameyasema hayo wakati akikabidhi hundi ya Shilingi…

Januari 27, 2026, 1:54 mu

Vijana Malunga watakiwa kujiari wao wenyewe

Na Sebastian Mnakaya Vijana wa kata ya Malunga wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekabidhiwa Cherehani 4 na Mashine ya kuchomelea 1, vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 1.9 ili kujiari na kujikwamua kiuchumi. Akikabidhi vifaa hivyo mbele ya mkutano wa…

26/01/2026, 10:12

Vijana kata ya Chuno wahamasishwa kujipanga kiuchumi

Vijana wa Kata ya Chuno, Mtwara Mjini, wametakiwa kuungana katika vikundi ili kunufaika na tenda na mikopo ya serikali kwa maendeleo yao ya kiuchumi Na Musa Mtepa Vijana wametakiwa kuungana na kuunda vikundi vitakavyowawezesha kupata tenda na mikopo kutoka serikalini,…