Afya
03/02/2023, 16:36
Tunashindwa kuelewa juu ya mfumo wa Bima ulivyo
Imeelezwa kuwa licha ya mikakati mbalimbali ya uboreshwaji wa huduma za afya bado wananchi wameendelea kulalamika huduma ya bima ya CHF iliyoboreshwa. Na Victor Chigwada Wananchi wa Kata ya Mlowa Barabarani wamesema kuwa wanashindwa kuelewa mfumo wa bima ulivyo ,kutokana…
3 Febuari 2023, 12:14 um
Zahanati Mnyawa mikononi mwa mkuu wa mkoa
Wameiomba serikali kusaidia ukamilishaji wa ujenzi wa kituo cha afya ili kuwapunguzia adha ya kujifungulia majumbani mwao. Na Hamza Ally Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas amemwagiza Mhandisi wa wilaya ya Tandahimba m kufanya tathmini ya gharama za…
02/02/2023, 13:48
Serikali yafanikiwa kupunguza maambukizi ya Malaria Jijini Dodoma
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanikiwa kupunguza maambukizi ya Malaria kutoka asilimia 1.4 hadi kufikia asilimia 1.01 mwaka 2022. Na Alfred Bulahya Hayo yamebainishwa na mratibu wa malaria kutoka halmashauri ya jiji la Dodoma Bw, Gasper Kisenga wakati akizungumza na…
1 Febuari 2023, 11:54 mu
21 Wabainika na Maambukizi ya Ukoma Katavi
MPANDATakwimu zinaonyesha kwa mwaka 2022 wagonjwa wapya 21 wamebainika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa ukoma ndani ya manispaa ya mpanda mkoani katavi hali inayoonesha uwepo mkubwa wa watu wenye tatizo hilo. Kauli hiyo imetolewa na mratibu wa kifua kikuu…
1 Febuari 2023, 11:51 mu
Mrindoko Atoa Siku Saba Majibu ya Mkataba wa Lishe
KATAVIMkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa siku saba kwa wakurugenzi wa halmashauri, waganga wakuu walaya na maafisa lishe kutoa maelezo ya kina kwa maandishi kwa kushindwa kusimamia mkataba wa lishe. Agizo hilo amelitoa wakati wa kikao cha kujadili…
31/01/2023, 12:06
Mama mjamzito akitumia dawa za kulevya zinamuathiri mtoto kuanzia tumboni
Mama mjamzito anayetumia madawa ya kulevya ana kiwango kikubwa cha kumuathiri mtoto akiwa tumboni, na wengi wao wanapoteza maisha wakati wa kujifungua. Na Gregory Millanzi Mama mjamzito akiwa anatumia madawa ya kulevya zinamuathili mama kwenye mfumo wake wa uzazi na…
30/01/2023, 12:37
Ufahamu wa chanjo ya Corona waongeza idadi ya watu kuchanja
Picha ya Chanjo ya UVIKO 19
30/01/2023, 09:28
Igunguli waomba msaada ujenzi wa Zahanati
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Igunguli Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaunga mkono na kuwasaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati Wakizungumza na taswira ya habari wamesema kukosekana kwa huduma ya afya kijiji hapo inasababisha wananchi kwenda…
28/01/2023, 09:46
Umuhimu Wa Elimu Ya Chanjo Ya Uviko 19
Na; Mariamu Matundu.Imeelezwa kuwa bado chanjo ya uviko 19 inaendelea kutolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya kote nchini na hivyo wananchi wametakiwa kwenda kupata elimu ya umuhimu wa chanjo hiyo na kuchukua maamuzi ya kuchanja.Mariam matundu amefanya mazungumzo…
23/01/2023, 13:22
KONA YA AFYA
Na; Yusuph Hassan. katika kona ya Afya leo tumeangazia juu ya matibabu ya U.T.I.