Radio Tadio

Afya

1 Febuari 2023, 11:54 mu

21 Wabainika na Maambukizi ya Ukoma Katavi

MPANDATakwimu zinaonyesha kwa mwaka 2022 wagonjwa wapya 21 wamebainika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa ukoma ndani ya manispaa ya mpanda mkoani katavi hali inayoonesha uwepo mkubwa wa watu wenye tatizo hilo. Kauli hiyo imetolewa na mratibu wa kifua kikuu…

1 Febuari 2023, 11:51 mu

Mrindoko Atoa Siku Saba Majibu ya Mkataba wa Lishe

KATAVIMkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa siku saba kwa wakurugenzi wa halmashauri, waganga wakuu walaya na maafisa lishe kutoa maelezo ya kina kwa maandishi kwa kushindwa kusimamia mkataba wa lishe. Agizo hilo amelitoa wakati wa kikao cha kujadili…

30 Januari 2023, 9:28 mu

Igunguli waomba msaada ujenzi wa Zahanati

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Igunguli Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaunga mkono  na kuwasaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati Wakizungumza na taswira ya habari wamesema  kukosekana kwa huduma ya afya kijiji hapo inasababisha wananchi kwenda…

28 Januari 2023, 9:46 mu

Umuhimu Wa Elimu Ya Chanjo Ya Uviko 19

Na; Mariamu Matundu.Imeelezwa kuwa bado chanjo ya uviko 19 inaendelea kutolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya kote nchini na hivyo wananchi wametakiwa kwenda kupata elimu ya umuhimu wa chanjo hiyo na kuchukua maamuzi ya kuchanja.Mariam matundu amefanya mazungumzo…

23 Januari 2023, 1:22 um

KONA YA AFYA

Na; Yusuph Hassan. katika kona ya Afya leo tumeangazia juu ya matibabu ya U.T.I.

23 Januari 2023, 11:47 mu

Mvumi Misheni walia na gharama za matibabu

Na; Victor Chigwada.                                    Licha ya huduma zinazotolewa katika hospitali ya Mvumi Misheni bado wananchi wametaja gharama za matibabu katika hospitali hiyo kuwa changamoto. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa kijiji cha Mvumi Bw.Alpha Zoya wakati akizungumza na Taswira ya Habari…

20 Januari 2023, 3:53 mu

Wananchi Kabungu Wadai Mkunga wa Kike

TANGANYIKABaadhi ya wananchi wa kijiji cha Kabungu kata ya Kabungu wilayani Tanganyika mkoani katavi wameiomba Serikali kuwaletea mkunga wa kike kwenye zahanati ya kijijini hapo.Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi hao wameipongeza zahanati hiyo kwa huduma wanazozitoa huku wakiomba waongezewe…