Radio Tadio

Afya

18 September 2025, 11:05 pm

SIDO yatunuku vyeti wajasiriamali 250

SIDO yamaliza mafunzo ya siku 3 kwa wajasiriamali 250 Kilombero na kutunuku vyeti; DC atoa agizo la kufunguliwa kwa ofisi ya SIDO wilayani humo kusogeza huduma karibu na wananchi. Na; Isidory Mtunda Washiriki 250 wa semina ya wajasiriamali, wawekezaji na…

18 September 2025, 12:23 pm

Wananchi watakiwa kutumia bidhaa za ndani

Kutumia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini itapelekea kukuza uchumi Na Adelphina Kutika Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kutumia bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani, ili kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la taifa. Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa…

18 September 2025, 10:53 am

SIDO yawezesha wajasiriamali Ifakara

SIDO Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali imeendesha semina ya siku tatu kwa wajasiriamali, wawekezaji na wenye viwanda Ifakara, kwa lengo la kuwawezesha kupata ujuzi wa kukuza biashara na kuepuka migogoro ya kikodi na changamoto za usajili wa…

17 September 2025, 10:50 pm

TRA Morogoro yaendelea kutoa elimu

TRA Mkoa wa Morogoro imeendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara wa Kilombero kuhusu mabadiliko ya sheria za kodi, matumizi ya mashine za EFD, na umuhimu wa usajili wa TIN, ikiwa ni sehemu ya kuongeza uelewa na kuimarisha ukusanyaji wa mapato. Na;…

16 September 2025, 8:53 am

TRA Morogoro yatoa elimu kwa wafanyabiashara

TRA Mkoa wa Morogoro imetoa elimu kwa wafanyabiashara wa Ifakara kuhusu mabadiliko ya sheria za kodi na matumizi sahihi ya mashine za EFD, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha ulipaji wa kodi kwa hiari na kuongeza uelewa wa majukumu…

9 September 2025, 8:54 pm

Umiliki wa silaha lazima uzingatie masharti

Na Zabron G Balimponya Wakili wa Kujitegemea kutoka Chama cha Mawakili Tanganyika, Akram Magoti amesema kuwa matumizi ya silaha yasiyozingatia sheria kanuni na utaratibu kutoka kwa msajili wa silaha ni kosa kisheria hali ambayo inaweza kusababisha mmiliki kufutiwa leseni. Wakili…

1 September 2025, 5:53 pm

Kichanga cha siku moja chachomwa moto Geita

“Kwakweli tunaomba polisi wafuatilie tukio hili ili kukomesha watu wenye roho za kikatili na kinyama kiasi hiki, huyu mtoto huwezi jua angekuwa nani baadaye” – Mwananchi Na: Edga Rwenduru: Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na siku moja amekutwa amechomwa moto na…

29 August 2025, 5:16 pm

Marufuku watoto kwenye Mabanda ya video Geita Road

Sera ya maendeleo ya mtoto ya mwaka 2008 inaweka bayana wajibu wa jamii, wazazi na serikali kulinda watoto dhidi ya vitendo vinavyoweza kuathiri makuzi yao. Na Mwandishi Wetu: Mwenyekiti wa mtaa huo Pelana Bagume amesema hatua hiyo imechukuliwa baada ya…