Radio Tadio

Afya

16 April 2025, 3:23 pm

MAUWASA yang’ara tuzo za mamlaka Tanzania bara

“Tuna kila sababu ya kuupongeza uongozi wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa nanma ambayo umeweza kutekeleza dhana ya kumtua mama ndoo kichwani kwa vitendo na siyo kwa maneno leo hii maji safi na salama…

16 April 2025, 3:00 pm

Wazazi wasiolea watoto kukiona cha moto Geita

Jeshi la polisi katika mkakati wa kukabiliana na changamoto ya vitedo vya ukatili kwa watoto Mkoani Geita Na Mrisho Sadick: Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limeanza oparesheni ya kuwakamata watoto wanaozurura mitaani nyakati za usiku na kuwawajibisha wazazi wao…

11 April 2025, 17:28

Taasisi za fedha zatakiwa kutoa ushirikiano kwa wajasiriamali

Wasariamali na wafanyabiashara wadogo wamepewa mafunzo yanayolenga kuwainua kiuchumi Na Michael Mpunije Wasimamizi wa taasisi za kifedha wametakiwa kushirikiana na wajasiriamali pamoja na wafanyabiashara wadogo wadogo na wa kati katika kuandaa mpango wa Biashara ili kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi. Hayo yamejiri…

9 April 2025, 3:41 pm

Mvua yaziacha kaya 16 bila makazi Itilima

“Bado tunakila sababu kwa mamlaka husika kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya madhara ya kujenga kwenye mikondo ya maji maana kila kiongozi yakitokea maafa kama ya mafuriko tunaanza kuwaambia wananchi madhara ya kujenga bondeni Je? Kipindi wanaanza ujenzi mamlaka…

3 April 2025, 5:56 pm

Asteria Lunyilija (60) auawa kwa kukatwa panga Bulela

Jeshi la Polisi mkoani Geita limeandaa mpango maalum wa kuendelea kutoa elimu kwa Jamii ili kuweza kukabiliana na vitendo vya uhalifu ikiwemo ukatili. Na: Paul William: Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Asteria Lunyilija (60) mkazi wa kijiji cha Bulela, kata…

27 March 2025, 1:58 pm

Mtoto wa miaka 14 ambaka mtoto wa mwaka mmoja na nusu

Na Omar Hassan. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kubaka watoto katika matukio mawili tofauti.Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu, Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamanda wa Polisi Mkoa…

20 March 2025, 6:03 pm

Maswa: Wananchi meno 32 nje baada yakufikiwa na mradi wa maji

Serikali kupitia Wizara ya Maji imeendea na adhima yake ya kuhakikisha inamtua mwanamke ndoo kichwani kwakuhakikisha inasogeza  kuduma ya maji kwa wananchi. Na,Alex Sayi-Maswa Simiyu Wananchi na wakazi wa kijiji cha Ipililo kata ya Ipililo wilayani Maswa Mkoani Simiyu wameishukuru…

20 March 2025, 1:23 pm

DC Gidarya: Wananchi wa Ipililo tunzeni huu mradi wa maji

Baada ya Serikali kujenga Mradi na kuukadhi kwenu, Jukumu la kuulinda na Kuutunza ni lakwenu wananchi wenyewe , hivyo niwaomba wananchi wa Ipililo lindeni miundombinu ya Maji katika Mradi huu, asitokee mwananchi mmoja akaja kukata mabomba halafu nyie mnamuangalia tu.…