Afrika
10 Agosti 2022, 15:29 um
KIPINDI (LIVE): Elimu ya namna ya kudhibiti Ugonjwa Kifua Kikuu (TB)
Ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa unaoennezwa kwa njia ya hewa na hii huenezwa kwa njia tofauti, ungana na mwandishi wetu Mwanahamisi chikambu pamoja Dk. Boniface Jengela ambaye ni mratibu wa kudhibiti kifua kikuu (TB) na ukoma katika halmshauri ya…
12 Julai 2022, 4:40 um
Atumia ARV miaka 6 bila kuwa na VVU
Mwanamke mmoja raia wa Uganda amejitokeza akitafuta haki kufuatia kugundulika kuwa hana Virusi Vya Ukimwi baada ya miaka sita ya kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo kutokana na kupimwa vibaya. Faridah Kiconco mwenye umri wa miaka 37, alianza…
19 Juni 2022, 4:51 um
DRC yafunga mipaka yake na Rwanda
Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC), imefunga mipaka yake yote na Rwanda huku hali ya mvutano kati ya nchi hizo mbili ukiendelea kuongezeka kufuatia madai ya Rwanda kuunga mkono waasi wa M23 wanaopigana na jeshi la DRC. Mbali…
29 Aprili 2022, 9:17 mu
Dkt.Mpango Awasili Nchini Kenya Kumuwakilisha Rais Katika Mazishi Ya Hayati Mwai…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 29 Aprili 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopo Nairobi nchini Kenya alipoenda kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…