Radio Tadio

Afrika

4 Septemba 2025, 10:38 mu

Wanaobana mkojo hatarini figo kufeli

” Kukaa na mkojo kwa muda mrefu kunaweza kusababisha figo kushindwa kufanya kazi” Na Anna Mhina Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuacha tabia ya kubana haja ndogo kwa muda mrefu (mkojo) ili kuepukana na madhara…

11/08/2025, 13:09

Simba awaita wadau michuano ya Mapung’o cup

Mashindano hayo ni zaidi ya burudani kwani yanatoa nafasi kwa vijana kuonesha vipaji ambavyo havijaonekana kitaifa. Na Mwandishi Wetu: Mwamuzi maarufu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Ally Simba ameonesha kuridhishwa na kiwango cha ushindani na nidhamu ya wachezaji katika michuano…

03/08/2025, 15:40

Yanga kurudi kama Mbogo kimataifa

Klabu ya Yanga imeahidi kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa msimu huu kuliko wakati wowote. Na Mrisho Sadick: Klabu ya Soka ya Yanga imeendelea kusherehekea mafanikio yake ya msimu wa 2024/25 kwa kutembeza makombe yake matano  katika mitaa mbalimbali ya…

24/07/2025, 11:34

GGML yafadhili mashindano ya michezo shule za sekondari

‘Geita Youth Sports Tournament’ imehitimishwa kwa kuzisogeza karibu shule za sekondari 40 kutoka halmashauri ya Manispaa ya Geita kupitia michezo mbalimbali. Na: Ester Mabula Kampuni ya uchimbaji madini ya Geita Gold Minning Limited (GGML) kwa kushirikiana na halmashauri ya manispaa…

Julai 10, 2025, 5:17 um

Viongozi Kahama watakiwa kusikiliza, kutatua kero za wananchi

”kasikilizeni na kuzitatua changamoto mbalimbali za wananchi wenu pamoja na kushirikiana katika suala ya maendeleo” Mboni Mhita Na Sebastian Mnakaya Viongozi wa wilayani ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kusikiliza na kutatua changamoto mbali mbali za wananchi wao pamoja na…

02/06/2025, 18:45

Wanafunzi 126 kuuwakilisha mkoa wa Geita UMITASHUMTA

Geita watarajia mafanikio makubwa katika mashindano ya UMITASHUMTA baada ya mchujo makini uliofanyika kuwapata wachezaji mahiri. Na Mrisho Sadick: Jumla ya wanafunzi 126 wa shule za msingi kutoka mkoa wa Geita wamechaguliwa kuuwakilisha mkoa huo kwenye mashindano ya UMITASHUMTA ngazi…

07/05/2025, 12:56

Wakulima Manyara watakiwa kuacha kutegemea kilimo cha mvua

kwa upande wake  mwakilishi kutoka ofisi ya mkoa wa manyara Magreth wiza aliyekuwa mgeni rasmi,amesema kuna haja ya wakulimà kuvuna maji kipindi cha mvua ili kulima kilimo cha umwagiliaji hususani  msimu wa kiangazi na kuacha kutegemea mvuaa ambayo haitoi matokeao…

1 Mei 2025, 16:32

Aliyemchoma mtoto wake mkono ahukumiwa, Bunda

Katika utetezi wake mshitakiwa aliiomba mahakama imuachie huru kutokana na yeye kuwa ni mjane na ana watoto watano wanamtegemea. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu kifungo cha masharti (condition discharge) cha kutokutenda kosa lolote ndani ya miezi…

31/03/2025, 16:18

Watumishi Geita watakiwa kutumia michezo kuondoa tofauti zao

Michezo ni nguzo muhimu katika kuimarisha mahusiano na kuongeza uwajibikaji kazini kwa watumishi wa umma. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita Grace Kingalame amewataka watumishi wa serikali Mkoani Geita kutumia michezo kuondoa tofauti zao nakuweka mbele…