Baraka FM

Utamaduni

30 November 2025, 12:11 pm

Milioni 85 zaibua furaha Rundugai

Wananchi wa Kijiji cha Rundugai wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wamefurahia na kuishukuru Serikali baada ya kupokea shilingi milioni 85 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madrasa na kituo kidogo cha polisi, miradi inayotarajiwa kuboresha elimu na usalama katika eneo…

8 October 2025, 7:39 am

Tasaf yafikia awamu ya mwisho Kilosa

Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) Wilaya ya Kilosa umekamilika Septemba 30, 2025 kwa awamu ya tatu, ukiwanufaisha wanufaika 35,756 kutoka kaya 8,834. Na Aloycia Mhina Mpango wa kunusuru Kaya Maskini {TASAF} Wilayani Kilosa imekamilisha utekelezaji wa Mpango huo kwa…

October 3, 2025, 3:33 pm

Nasimama na Mama Tanzania kuwanufaisha wananchi Arusha

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Joseph Modest Mkude amezindua rasmi taasisi isiyo ya kiserikali ya Nasimama na Mama Tanzania yenye lengo la kumuunga mkono Rais dk Samia Suluhu Hassan Katika kila analolifanya pamoja pia na kuwakwamua vijana na kina mama…

26 September 2025, 4:50 pm

Kilosa yaimarisha usawa wa kijinsia

Programu ya Kizazi chenye Usawa ni programu inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii, yenye lengo la kuhimiza usawa wa kijinsia katika nyanja zote za kijamii na kiuchumi na Programu hii inalenga kuwezesha wanawake…

September 23, 2025, 7:03 pm

Zoezi maalum la kuvalisha tembo mikanda ya GPS laanza Mkomazi

Taasisi ya utafiti wa wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA) na Mamlaka ya hifadhi za Taifa (TANAPA), imeanza zoezi maalum la kuvalisha tembo mikanda ya mawasiliano katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, mkoani…

18 September 2025, 9:31 am

TRA Katavi yazindua dawati la uwezeshaji wa biashara

Viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja, wapili kutoka kulia ni mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph. Picha na Benny Gadau “Ushirikiano kati ya TRA na wafanyabiashara ni jambo la msingi sana” Na Benny Gadau Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA…

12 September 2025, 4:34 am

TAKUKURU Geita yawafunda wasimamizi wa uchaguzi

Tanzania inajiandaa na Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 ambapo rai imetolewa kwa wasimamizi wa uchaguzi kuepuka vitendo vya Rushwa. Na: Edga Rwenduru Taasisi ya kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita imewaonya wananchi na wasimamizi wa uchaguzi watakaobainika…