Baraka FM

Mafunzo

27 June 2024, 12:35 pm

Bunda DC yapongezwa kwa kupata hati safi 2022/2023

Mkuu wa mkoa aipongeza Bunda DC kwa kupata hati safi ya ukaguzi aielekeza menejimenti kufanyia kazi hoja za ukaguzi. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa kupata hati safi…

20 June 2024, 16:00 pm

Makala – Elimu ya Usalama Barabarani kwa Watu Wenye Ulemavu

Watu wenye ulemavu wanasisitiza umuhimu kwa watumiaji wa barabara kuwapa kipaumbele kutokana na changamoto wanazokutana nazo wanapotumia barabara. Kila mmoja wetu ana jukumu la kuhakikisha usalama barabarani, si jukumu la serikali pekee. Abeid Yusufu Lukanga, ambaye ni mlemavu anayetumia baiskeli,…

24 May 2024, 23:15 pm

Baraza la madiwani Mtwara labatilisha umiliki wa kiwanja cha Mbunge

Waheshimiwa Madiwani wameunga mkono kubatirishwa kwa kiwanja kinachosadikiwa kumilikiwa na Mbunge wa Mtwara Mjini huku mstahiki Meya akiwaagiza watendaji kuyatambua na kuyawekea alama maeneo yote yaliyopo chini ya halmashauri ili kurahisiasha utambuzi inapotokea mtu kuvamia maeneo hayo Na Musa Mtepa…

23 May 2024, 16:12

Wadau waombwa kusaidia wanafunzi walemavu

Jamii na wadau wa maendeleo wilayani Kasulu wametakiwa kujitoa kwa wanafunzi wenye ulemavu kwa kuwapa msaada wa mahitaji mbalimbali ili waweze kufikia malengo kama makundi mengine ya watoto. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wadau wa maendeleo katika wilaya ya Kasulu…

23 May 2024, 09:05

Serikali kuboresha miundombinu kwa wanafunzi walemavu

Wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana na serikali katika kuhakikisha wanatengeneza miundombinu wezeshi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum ili weweze kusomea katika mazingira rafiki. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wito umetolewa kwa serikali kuendelea kuboresha miundombinu ya shule kwa watoto wenye…

20 May 2024, 13:59

Kasulu watakiwa kusaidia wanafunzi wenye ulemavu

Wadau wa maendeleo wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kujitokeza na kuwasaidia wanafunzi ambao ni walemavu ili kuwawezesha nyenzo mbalimbali zitakazowasaidia kusoma kwa urahisi na kufikia ndoto zao. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Katika kuunga mkono juhudi za maendeleo ya…

14 May 2024, 08:24 am

Wadau waombwa kusaidia ujenzi wa ghala la kijiji Mtwara

Tumeamua kujenga ghala hili kwasababu Kijiji chetu hatuna ghara na mazao yetu sasa hivi tumekua tukiazima jengo la maarifa ya kilimo la kata ambalo tumekuwa tukilitumia kupimia kwa kila pale inapofikia msimu wa korosho na ufuta tukaona bora tujichange  ili…