Baraka FM

Elimu

2 May 2024, 11:58

Viongozi idara za Moravian zapewa elimu kupinga ukatili

Utaratibu wa kanisa Moravian Ni kuhakikisha idara zake zinakuwa sehemu ya kuungana na jamii kupinga masuala ya ukatili yanayofanywa kwenye jamii. Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini kupitia Idara yake ya Ustawi wa jamii Inaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo…

18 March 2024, 12:24

Mradi wa Dream kuwanufaisha wasichana Mbeya, Songwe

Katika dunia ya sasa kundi la wasichana wanapaswa kulindwa na kupewa mazingira mazuri ambayo yatawafanya kuondokana na changamoto zinazowakabili. Na mwandishi wetu Shirika la kimataifa la HJFMRI limesema linatarajia kutoa Sh 500 milioni kuwezesha mabinti balehe na wasichana vijana kupitia…

12 March 2024, 22:24

Paradise Mission kuadhimisha miaka mitatu na Rais Samia

Kila binadamu anayefanikiwa nyuma ya mafanikio yake lazima awepo mtu anayesukuma mafanikio hayo. Kutokana na hilo taasisi ya shule yenye mchepuo wa lugha ya kiingereza ya Paradise Mission imeona kwa miaka mitatu imefanikiwa kutoa elimu hasa kwa wakazi wa mkoa…

29 February 2024, 18:51

Zaidi ya miche 100 yapandwa shule ya Mpakani Kyela

Na Ezekiel Kamanga Taasisi ya Living Together Youth Foundation(LTYF) yenye makao makuu wilaya ya Kyela inayojihusisha na utunzaji wa mazingira ikiongozwa na mkurugenzi wake Leonatha Likalango imeendelea na kampeni ya kufungua klabu za mazingira shuleni sanjari na upandaji miti ya…

27 February 2024, 19:56

Rc Songwe awapongeza walimu

Na mwandishi wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis K. Michael, ametembelea na kukagua hali ya ufundishaji na ujifunzaji katika Shule ya Msingi Katete iliyopo Kata ya Mpemba na Shule ya Msingi Mpemba iliyopo Kata ya Katete…