Zenj FM

Afya

1 May 2024, 7:28 pm

Mvua yaathiri uzoaji taka Wilaya ya Magharib A

Na Rahma na Suleiman Mkusanyiko wa taka kwa muda mrefu wawaibua wakazi wa Bububu meli nane. Wananchi wa Bububu meli nane wadi ya kihinani wilaya ya magharibi( A)  mkoa  wa mjini wameilalamikia  Manispaa ya wilaya hiyo kuwepo  kwa taka  muda…

25 April 2024, 6:41 pm

Zanzibar yaadhimisha siku ya malaria kwa kusambaza vyandarua

Na Mary Julius Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua juhudi ya kuona ugonjwa wa malaria unaondoka kwa kufanyia kazi kauli mbiu ya mwaka huu usemayo ‘Nipo tayari kushinda malaria Ziro Malaria inaanza na mimi’. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…

25 April 2024, 5:48 pm

Zaidi ya wajawazito elfu mbili wafikiwa na M-MAMA Zanzibar

Mary Julius. Wananchi wametakiwa kushirikiana na wizara ya afya katika kuwahimiza wajawazito kuhudhuria kliniki mapema ili kupunguza vifo vya mama na mtoto. Waziri wa afya Nassor Ahmed Mazrui ameyasema hayo  alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha kujadili mpango wa kuendeleza…

12 March 2024, 6:45 pm

Wizara ya Afya Zanzibar yatoa ripoti vifo vya watoto tisa

Na Mary Julius Kufuatia vifo vya watoto tisa waliofariki kwa kula nyama ya kasa, Wizara ya Afya Zanzibar imewataka wananchi visiwani humo kuacha kula nyama hiyo. Wizara ya Afya Zanzibar imetoa ripoti ya utafiti uliofanywa kufuatia watoto tisa kufariki dunia…

11 March 2024, 5:12 pm

Jamii yatakiwa kuona umuhimu wa kuchangia damu kwa hiari

Na Mary Julius. Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed  Mahamoud  amesema  serikali inahitaji kuwa na akiba ya kutosha ya damu salama ili kuokoa maisha ya watu pale wanapokabiliwa na majanga. Akizungumza katika zoezi la uchangiaji damu huko  kiwanja…

4 February 2022, 5:05 pm

Kaskazini A Unguja na Micheweni Pemba, kunufaika na Pharm Acces

Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee na Watoto Nassor Ahmed  Mazrui amesema wizara ya afya itaendelea kushirikiana na mashirika binafsi  ili kuweza kuwasaidia wananchi wa visiwa vya Zanzibar. Akizungumza katika makabidhiano ya  kupokea vifaa vya kuboresha huduma za afya…

2 December 2021, 2:51 pm

Pharm Access waleta neema Zanzibar

Na Fatma Ali Mohd:Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee  na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikishirikiana na Shirika lisilo la kiserikali Pharm Access linaandaa mikakati ya kuhakikisha Zanzibar inaanzisha mfuko wake  wa huduma…

16 November 2021, 2:06 pm

Wazanzibar watakiwa kuchanja chanjo ya uviko 19

Na Thuwaiba Mohammed Waziri wa afya ustawi wa jamii wazee jinsia na watoto Zanzibar Nasor Ahmed Mazrui amewataka wazanzibar kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya uviko 19 ili kujikinga na ugonjwa huo. Waziri Mazrui ametowa wito huo  na kusema wananchi…