Uyui FM

Recent posts

9 September 2025, 8:54 pm

Umiliki wa silaha lazima uzingatie masharti

Na Zabron G Balimponya Wakili wa Kujitegemea kutoka Chama cha Mawakili Tanganyika, Akram Magoti amesema kuwa matumizi ya silaha yasiyozingatia sheria kanuni na utaratibu kutoka kwa msajili wa silaha ni kosa kisheria hali ambayo inaweza kusababisha mmiliki kufutiwa leseni. Wakili…

9 September 2025, 8:41 pm

Watumishi washauriwa kujipanga kabla ya kustaafu

Na Zabron G Balimponya Imeelezwa kuwa kabla ya kufikia muda wa kustafu kazi ni vizuri kujiwekea mipango ya hakiba ya fedha pamoja na kujiandaa kisaikolojia ikiwa ni pamoja na kujiepusha na ulevi ili kujiweka vyema katika maisha ya uzeeni Hayo…

27 August 2025, 8:26 pm

Wenza washauriwa kuacha kujirekodi picha za faragha

“Ni vyema jamii ikajikita kuandaa maudhui yatakayo wasaidia kuleta maendeleo” Kufuatia matukio mbalimbali ya kusambaa kwa picha mjongeo za faragha kwenye mitandao ya kijamii,wenza wametahadharishwa juu ya tabia ya kupiga picha hizo kwani ni kinyume cha sheria ya makosa ya…

27 August 2025, 8:16 pm

CCM Tabora wasema uteuzi wa wagombea ulifuata haki

Zaituni Juma Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Tabora kimewataka wanachama kutambua kuwa, mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi ya udiwani na ubunge ni wa haki na hauna upendeleo. Katibu wa siasa na uenezi wa CCM mkoa wa Tabora IDDY…

27 August 2025, 7:50 pm

Jeshi la polisi Tabora lahimiza kampeni za kistaarabu

“Jeshi limejipanga kuwadhibiti watakao kiuka sheria na taratibu katika kipindi cha kampeni“ Zaituni Juma Jeshi la polisi mkoa wa Tabora limejipanga kikamilifu kuhakikisha zoezi la kampeni kuelekea uchaguzi mkuu linafanyika kwa amani na utulivu. Akizungumza na UFR Kamanda wa Polisi…

20 August 2025, 8:39 pm

Wananchi Tabora watakiwa kuwabaini wasiojua kusoma na kuandika

Wilson Makala Wananchi mkoani Tabora wametakiwa kushirikiana na Serikali kuwabaini watu wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu ili kuwawezesha kupata elimu ya watu wazima na usaidizi wa kitaaluma, hatua itakayoongeza idadi ya watu wenye elimu ya ´K tatu´ yaani kusoma, kuandika…

21 July 2025, 6:56 pm

Chanzo kifo cha mtoto Ramin ni ajali siyo utekaji-RPC Abwao

”Hakuna mazingira yoyote ya utekaji ni tukio la ajali” SACP Abwao Zaituni Juma. Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kuwa kifo cha mtoto wa miaka mitatu Ramin Sahibad ni tukio la ajali na sio utekaji, ambalo limetokea baada ya…

2 July 2025, 12:11 pm

Tai sio kigezo cha kuhudumiwa-RC Chacha

”Huitaji kujua mtu ametoka wapi au ni nani,akikukuta ofisini mhudumie” RC Chacha Na Zabron George Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha, amewataka wakuu wa wilaya walioapishwa kufanya kazi kwa weledi na kutatua changamoto za wananchi bila ubaguzi. Mkuu wa…

14 June 2025, 10:19 am

RC Chacha akabidhi trekta mbili chuo cha AMUCTA

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amekabidhi trekta hizo kwa niaba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ikiwa ni katika kutimiza ahadi aliyoitoa chuoni hapo. Na Zaituni Juma Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha amekabidhi trekta mbili…