Uvinza Fm

Habari za kigoma

11/08/2021, 7:29 pm

Waliopokea chanjo ya uviko 19 afya zao ni salama

Na,Timotheo Leornadi Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Ruchugi kata ya Uvinza wilayani Uvinza Mkoani Kigoma ambao tayari wamepokea chanjo ya UVIKO -19 wamesema ni salama kwa afya, nakwamba wale ambao bado wanamitazamo hasi wakachajwe  kulinda maisha yao Hayo wameyasema…

05/07/2021, 5:55 pm

Corona yaathiri Wafanyabiashara wa samaki na dagaa

Na,Glory Paschal Baadhi  ya Wavuvi  na Wafanyabiashara wa Samaki na Dagaa Mkoani Kigoma Wamesema Kufungwa kwa Mipaka ya Nchi Jirani  Kutokana na Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona Kumeathiri Biashara zao Wavuvi  Pamoja na Wafanyabiashara ambao Wamesema hali ya biashara imekuwa…

05/07/2021, 5:43 pm

Wananchi Waomba Muongozo Chanjo ya Corona

Na,Glory Paschal Wananchi wilayani kasulu mkoani kigoma wameiomba  serikali kuharakisha  kutoa  muongozo wa chanjo ya virusi vya corona ili waweze kupata elimu zaidi kuhusu chanjo hiyo ya virusi vya corona ambayo wamekuwa wakiisikia kutoka nchi jirani Wamesema hayo Wakati Wakizungumza…

24/06/2021, 7:31 pm

Jeshi la polisi latakiwa kufanya kazi zao kwa weledi

Na,Glory Paschal Watendaji wa Jeshi la polisi pamoja na mahakama Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi zao kwa weledi ili kutokomeza mimba za utotoni Hayo yameelezwa na Katibu Tawala  Mkoani hapa Rashid Kassim Mchatta katika mkutano wa utetezi kuhusu haki za…

04/06/2021, 7:51 pm

Wakazi wa Matendo watembea umbali mrefu kufuata maji

Na,Glory Paschal Wananchi wa Kijiji cha Pamila Kata ya Matendo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Wameiomba  Serikali  kuwasaidia kupeleka huduma ya maji kwani wanalazimika kutembea umbali mrefu kutafuta maji na kushindwa kufanya shughuli za maendeleo Wakizungumza  na  Radio  Uvinza Fm, Wananchi…

27/05/2021, 4:55 pm

Wananchi waiomba Serikali kudhibiti maeneo hatarishi

Na,Glory Paschal Wananchi Mkoani Kigoma wameitaka Serikali kudhibiti maeneo hatarishi ya mito na mabwawa machafu yanayochochea ongezeko la magonjwa ya kichocho na minyoo hasa kwa watoto Wamesema maeneo mengi yamejaa maji Machafu hivyo ni muhimu elimu ikatolewa kwa kuwashirikisha wananchi…

20/05/2021, 7:27 pm

Ukosefu wa maji wawaliza wananchi

Na,Editha Edward Wananchi wa kijiji cha Ruchugi wilayani uvinza mkoani kigoma wameiomba serikali iwatengenezee magati ya maji waliyoyaweka ili maji yaweze kutoka na kuondokana  na adha wanayopata  ya kutembea umbali mrefu kufuata maji Wakizungumza na redio uvinza fm wananchi  wa…

18/05/2021, 8:12 pm

Magoti yatumika kama Madawati Shuleni

Na,Timotheo Leonardi Wanafunzi  katika shule ya Msingi shikizi kutoka shule mama ya Muungano iliyopo kijiji cha Ruchugi Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma hawana madawati haliinayopelekea kukaa kwenye benchi  nahatimaye kupata ugumu wakati wakiandika masomo yao Hayo wameyasema wakati Radio Uvinza fm…