Uvinza Fm

Habari za kigoma

29/09/2021, 6:34 pm

Majambazi watatu wauawa

Na,Glory Paschal Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limefanikiwa kuwaua watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika barabara inayotokea  kijiji cha Kagerankanda kata ya Nyakitonto Tarafa ya Buhoro wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Jeshi…

16/09/2021, 9:10 pm

Waziri mkuu amewahakikishia wakulima wa mazao ya kimkakati masoko

Na,Glory Paschal Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Mjaliwa Kassim amewahakikishia wakulima wanaolima mazao ya kimakakati nchini kuwawezesha katika mchakato wa kuandaa kulima na kuwatafutia masoko ya ndani na nje ya nchi. Ametoa kauli hiyo alipotembelea Shamba la michikichi katika  kambi…

09/09/2021, 5:54 pm

Kuwahi mapema kliniki kwa mama mjamzito husaidia kiafya

Na,Editha Edward Imeelezwa kuwa kuwahi mapema kliniki kwa mama mjamzito humsaidia kujua hali ya mama kiafya Pamoja na hali ya  mtoto wake aliyeko tumboni Akizungumza na redio Uvinza fm mganga mkuu wilaya ya Uvinza dkt ZAITUNI HAMZA amesema kuna baadhi…

08/09/2021, 5:43 pm

Wafungwa na watumishi wa gereza wapokea chanjo ya uviko 19

Na,Glory Paschal Wafungwa na watumishi katika gereza la bangwe mjini kigoma, wamepokea chanjo ya uviko 19 kwa kuchwanjwa ili kuendelea kujilinda na maambukizi ya ugonjwa huo na kuendelea kujilinda na kuwalinda ndugu jamaa na marafiki wanaowatembelea gerezani Wamesema hatua hiyo…

03/09/2021, 5:57 pm

Dawa ya kupunguza makali ya Vvu yaanza kutolewa

Na,Glory Paschal Dawa ya kupunguza Makali ya  virusi vya UKIMWI imeanza kutolewa kwa miezi sita kwa wagonjwa wenye maambukizi ili kusaidia kupunguza makali ya virusi hivyo. Hayo yamezungumzwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dkt. Saimon Chacha, nakusema wagonjwa…

02/09/2021, 5:51 pm

Apoteza maisha kwa kukatwa na kitu kikali shingoni

Na,Jacob Kapaya Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la JACKIAS KIPARA mkazi wa kijiji cha Ruchugi wilayani Uvinza mkoani Kigoma  mwenye umri wa miaka 31 amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni. Kamanda wa jeshi  la polisi…

19/08/2021, 4:23 pm

Wazazi na walezi washauriwa kutowaruhusu watoto kusafirishwa

Na,Glory Paschal Wazazi na Walezi Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma wameshauriwa kutoruhusu watoto wao kusafirishwa kwenda kutumikishwa katika shughuli mbalimbali kinyume cha sheria Afisa Ustawi wa Jamii halmashauri ya wilaya Kakonko  Bw. Mohamed Shauri  amesema baadhi ya wazazi na walezi wamekuwa…