Uvinza Fm

Habari za kigoma

23/04/2021, 4:15 pm

Shilingi 7.3bilioni kutengeneza mtandao wa barabara

UVINZA Na,Editha Edward Wananchi katika wilaya ya UVINZA mkoani Kigoma wameiomba serikali kupitia TARURA kuongeza kasi katika ujenzi wa barabara ya Uvinza mjini ili Kuruhusu shughuli za kiuchumi za wananchi kufanyika kwa urahisi Wakizungumza na Radio Uvinza Baadhi yao wamesema…

21/04/2021, 10:22 am

Suluhisho la Vifo vya Wajawazito lapatikana

KIGOMA Na, Glory Paschal Serikali ya Mkoa wa Kigoma ikishirikiana na wadau wa Afya imezindua mpango wa dharula wa miaka mitatu ya kukabiliana na vifo vya mama mjamzito na mtoto mchanga ambavyo kwa sasa vimeongezeka na  kufikia asilimia 95 katika vituo…

18/04/2021, 8:56 am

Mafuriko yakumba Kaya 50

KIGOMA Na; Glory Kusaga Takribani kaya 50 zilizopo Kata ya Katubuka manispaa ya kigoma ujiji Mkoani Kigoma zimekumbwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani kigoma.Baadhi ya waathirika Wamesema changamoto ya maji kukaa katika makazi yao ni kubwa na…

16/04/2021, 3:35 pm

Kilio cha Walemavu chatatuliwa

UVINZA Na, Editha Edward Baada ya Redio uvinza fm kuripoti taarifa ya watu wenye ulemavu kupatiwa mikopo  ya asilimia 10 inayotolewa na kila halmashauri  kwa takribani miezi mitano iliyopita  ili kujikwamua kiuchumi halmashauri ya wilaya ya uvinza mkoa wa kigoma…

16/04/2021, 1:27 pm

Wananchi wa Kibirizi wawashukuru Viongozi wao

Na; Glory Kusaga KIGOMA Wananchi wa kata ya Kibirizi Manispaa ya kigoma ujiji wamewashukuru Viongozi wa kata hiyo kwa jitihada za kudhibiti matukio ya wizi na udokozi yaliyokuwa yanaathiri Maendeleo yao . Wakizungumza kwa nyakati tofauti  wamesema Vitendo vya wizi vimekuwa…