Zimamoto
23 Januari 2026, 2:26 um
Zaidi ya watoto 22 wenye mahitaji maalum wabainishwa Kizota
Hatua hiyo inajiri ikiwa ni siku ya pili tangu Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuzindua rasmi zoezi la ubainishaji wa watoto wenye mahitaji maalum, zoezi inalotekelezwa ikiwa ni sehemu ya sera ya serikali kuhakikisha watoto wote wanajumuishwa katika mfumo wa…
22 Januari 2026, 5:25 um
Dodoma yabainisha watoto wenye mahitaji maalum
Ubainishaji wa mapema utasaidia serikali na wadau kupanga mikakati madhubuti ya utoaji wa huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum. Na Lilian Leopold. Wazazi na walimu wametakiwa kushirikiana katika kuwaibua watoto wenye mahitaji maalum, kwa lengo la kuwatambua watoto hao wenye…
20 Disemba 2023, 5:15 um
Askari wa zimamoto Katavi washauriwa kufanya kazi kwa weledi
Askari wa Jeshi la zimamoto na Uokoaji Katavi washauriwa kufanya kazi kwa weredi na kuendelea kuwa wavumilivu. Na Gladness Richard – Katavi Askari wa Jeshi la zimamoto na Uokoaji mkoani Katavi wameshauriwa kufanya kazi kwa weredi na kuendelea kuwa wavumilivu…
10 Oktoba 2023, 3:59 um
Wananchi Katavi waliomba jeshi la zimamoto kutoa elimu ya vifaa vya kuzimia moto
Wananchi mkoani Katavi wameliomba jeshi la zimamoto na uokoaji kutoa elimu ya vifaa vya kuzimia moto. Na Lusy Dashud -Mpanda Wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameomba jeshi la zima moto na uokoaji kutoa elimu zaidi juu ya matumizi ya…
5 Oktoba 2023, 22:06
Zimamoto Mbeya yatoa elimu shule za msingi
Elimu ni msingi wa maendeleo, kila mtu anapaswa kupata elimu ili kuweza kufanikiwa juu ya jambo ambalo anatamani kulijua haijalishi umri, hapa jeshi la zimamoto linaonesha wazi namna ambavyo limeendelea kutoa elimu ili kuwezesha wananchi kukabiliana na majanga mbalimbali ikiwemo…
9 Agosti 2023, 3:22 um
Jamii yaeleza kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya vifaa vya kuzima moto
Jeshi la zimamoto na uokoaji limekuwa kikisisitiza matumizi ya vifaa hivi katika jamii ingawa baadhi ya wananchi wanasema kuwa ipo haja kwa jeshi hilo kuongeza nguvu ili elimu hiyo izidi kuwafikia wananchi wengi. Na Thadei Tesha. Ili kukabiliana na majanga…