Usonji
5 May 2023, 4:06 pm
Nini unatakiwa kufanya unapo bainiĀ dalili za usonji kwa mtoto
Le Dkt Arapha anaeleza hatua zinazopaswa kuchuliwa unapoona dalili za Usonji kwa mtoto. Picha na Yussuph Hassan. Na Yussuph Hassan. Leo tunaendelea kuzungumzia nini cha kufanya endapo mzazi au mlezi akiona dalili za mtoto mwenye usonji, tunaungana na Dkt Arapha…
4 May 2023, 4:09 pm
Zifahamu sifa za watoto wenye Usonji
Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe. Picha na Yussuph Hassan. Watoto wenye usonji pia wanazo sifa mbalimbali kama anavyo ainisha Dkt. Arapha. Na Yussuph Hassan. Leo tunaendelea kuzungumzia sifa za watoto wenye usonji, tukiungana…
2 May 2023, 1:43 pm
Je Usonji ni nini
Je usonji ni nini na husababishwa na nini. Na Yussuph Hassan. Usonji ni tatizo linalojitokeza mapema utotoni, ambapo mtoto huwa na mapungufu kwa kupenda kujitenga na kutotaka kuwa karibu na watu. Usonji ni ugonjwa unaonekana kwa watoto kuanzia mwaka mmoja…
3 April 2023, 12:24 pm
Jamii yatakiwa kusaidia watoto wenye usonji
Kuna haja ya kuwajumuisha watu wenye ulemavu ikiwemo wenye usonji ili kutimiza azma ya Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs ya kutomuacha yeyote nyuma. Na Seleman Kodima. Jamii imetakiwa kushirikia kikamilifu kusaidia kutatua changamoto zote zinazowakumba watoto wenye usonji bila kutazama…
19 December 2022, 11:45 am
Kipindi: Fahamu njia za kuwafundisha watoto wenye Usonji
Na Ramla Masali Makala haya yanazungumzia namna bora ya kuwafundisha watoto wenye Usonji. Sikiliza makala haya
26 November 2021, 1:03 pm
Mamlaka ya Serikali mtandao yaja na mfumo wa E. mrejesho
Na; Shani Nicolous. Mamlaka ya serikali mtandao ipo hatua za mwisho za usanifu wa mfumo unaoitwa E. mrejesho ambao utasaidia wananchi kuanadika pongezi au changamoto katika taasisi zote za umma. Akizungumza na Dodoma fm kupitia kipindi cha Dodoma live Kamishna…