Unyonyeshaji
27 September 2023, 4:57 pm
Akinamama watakiwa kuzingatia muda wa kunyonyesha watoto
Wataalamu wa Afya hushauri mtoto kunyonyeshwa maziwa ya mama kwa muda stahiki hasa kwa miezi sita ili kuijenga afya ya mtoto pamoja na kumpatia baadhi ya vyakula kwa ajili ya afya bora kwa mtoto. Na Naima Chokela. Ni muhimu…
26 September 2023, 4:07 pm
Wanawake washauriwa kuzingatia kanuni za unyonyeshaji
Wanawake wazingatie kanuni za unyonyeshaji ili kuwalinda Watoto na magojwa yasio ya kuambukizwa. Na Gladness Richard – Mpanda Wanawake wanaonyonyesha watoto manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameshauriwa kuzingatia kanuni za unyonyeshaji ili kuwalinda watoto na magojwa yasiyo ya kuambukizwa. Maziwa…
14 September 2023, 18:27
Mkuu wa wilaya Buhigwe awataka wanaume kuacha kunyonya maziwa ya mama
Baadhi ya Wanaume Katika Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, wametuhumiwa Kunyonya Maziwa ya Wenza wao wa Ndoa baada ya kujifungua, hali ambayo imechangia watoto kukosa maziwa ya kutosha. Na, Tryphone Odace Mkuu Wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael…
7 August 2023, 1:28 pm
Utandawazi, mitindo ya maisha vyatajwa kuathiri unyonyeshaji
Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji yamezinduliwa Agosti Mosi mwaka huu na kilele chake ni Agosti 08. Na Mariam Msagati. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameelezea kuwepo kwa sababu mbalimbali zinazochangia baadhi yao kushindwa kunyonyesha watoto ipasavyo. Wakizungumza na Dodoma TV…