Radio Tadio

tuzo

12 August 2023, 7:44 pm

Storm FM yampongeza mwandishi wake kushinda tuzo za EJAT

Mkurugenzi wa Kituo cha Redio cha Storm FM ameahidi kuendelea kutoa motisha kwa wafanyakazi wake wanaofanya vizuri katika nyanja mbalimbali ikiwemo tuzo. Na Mrisho Sadick: Storm FM imempongeza Mtangazaji na mwandishi wake Said Sindo kwa kushinda tuzo za umahiri za…

24 July 2023, 9:12 am

Mwandishi wa Storm FM ashinda tuzo EJAT

Tuzo za EJAT hutolewa kila mwaka, huku mwaka 2022 matukio ya mauaji ya walinzi mkoani Geita, yalimuinua Said Sindo kuandaa kipindi na kushindania tuzo hiyo. Na Zubeda Handris- Geita Mwandishi wa habari na mtangazaji wa kipindi cha Storm Asubuhi, Said Ally…

23 July 2023, 9:35 pm

Mazingira Fm yatoa mshindi tuzo za EJAT 2022

Radio Mazingira Fm imefanikiwa kumtoa mshindi wa tuzo za EJAT zinazotolewa na baraza la habari Tanzania MCT ambaye ni Catherine Msafiri Madabuke. Na Adelinus Banenwa Catherine Msafiri Madabuke mtangazaji kutoka radio Mazingira fm ameibuka mshindi wa umahiri wa uandishi wa…