Radio Tadio

TFS

3 June 2026, 16:31

15 wahitimu mafunzo ya orbit welding machine Veta Dodoma

Kwa ujumla, mafunzo hayo yanatajwa kuwa hatua muhimu katika kuimarisha nguvu kazi yenye ujuzi wa kisasa nchini na kuandaa wataalam watakaoweza kukidhi mahitaji ya sekta ya viwanda na miradi mikubwa ya maendeleo. Na Anwary Shaban. Wanafunzi 15 wa Chuo cha…

20 January 2026, 17:47

Mitazamo hasi kwa vijana kwenda veta ipuuzwe

Serikali na wadau wa elimu wanaendelea kutoa wito kwa wazazi na walezi kuwahamasisha vijana kujiunga na vyuo vya ufundi stadi, kama njia mbadala ya kukabiliana na tatizo la ajira nchini. Na Anwary Shaban.Jamii imetakiwa kuachana na mitazamo hasi kuhusu kuwapeleka…

4 March 2025, 12:00

VETA yawezesha wafungwa 214 kupata vyeti vya utambuzi

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni Wakala wa Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi. Na Alfred Bulahya.Serikali kupitia mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi VETA imewawezesha wafungwa wapatao 214…