TASAF
28 May 2024, 5:45 pm
Nayu watakiwa kuwa tayari zoezi la urasimishaji ardhi
Kila mwananchi ambaye anamiliki ardhi atafikiwa na zoezi hilo hivyo ni muhimu kila mmoja kushiriki. Na Victor Chigwada.Wakazi wa kijiji cha Nayu wilayani Chamwino mkoani Dodoma wametakiwa kuwa tayari kwa ajili ya zoezi la urasimishaji ardhi na makazi ambalo linatarajia…
6 March 2024, 6:54 pm
Malipo yakwamisha urasimishaji wa ardhi Ihumwa
Zoezi hilo la urasimishaji linahusisha zaidi ya viwanja 2500 kwa upande wa mtaa wa ihumwa A ambapo inaelezwa kwa ni viwanja visivyozidi 100 ndivyo vimelipiwa. Na Victor Chigwada.Kusuasua kwa Malipo ya zoezi la Urasimishaji wa ardhi katika kata ya Ihumwa…
7 December 2023, 9:47 pm
Miradi ya TASAF yakosa ushirikishwaji baina ya mfuko, viongozi na jamii
Aidha mabadiliko hayo ya malipo katika mfuko wa jamii wa kusaidia kaya maskini yalikuja yakiwa na lengo la kurahisisha utekelezi wa zoezi la utoaji fedha kwa walengwa. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa nguvu ya ushirikishwaji katika miradi ya…
14 September 2023, 7:17 pm
Ziara ya Ridhiwani mkoani Mara yaondoka na waratibu wa TASAF
Mheshimiwa Ridhiwani Jakaya Kikwete ameagiza kufutwa mara moja mfumo wa ulipaji wa fedha kwa wanufaika wa TASAF kwa njia ya mitandao ya simu. Na Thomas Masalu Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala…
21 April 2023, 3:02 pm
Wanufaika Tasaf walalamika malipo kuchelewa
Mpaka sasa miradi hiyo ipo katika hatua nzuri za utekelezaji kwani hadi kufikia julai mwaka huu wataanza kutekeleza awamu ya pili ya miradi hiyo. Na Bernadetha Mwakilabi Wanufaika wa mfuko wa kusaidia kaya masikini TASAF wilayani Kongwa wamelalamikia Kuchelewa kwa…
21 February 2023, 3:32 pm
Wanufaika wa mpango wa TASAF Bahi wameishukuru serikali
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka mpango maalumu wa kusaidia kaya masikini ambao utaleta ahueni. Na Bernad Magawa. Wanufaika wa mpango wa TASAF katika kijiji cha Bahi Sokoni wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wameishukuru serikali ya Jamhuri ya…
15 February 2023, 5:12 pm
Kukosekana kwa elimu juu ya TASAF walengwa kutoingia kwenye mfumo
Imeelezwa kuwa kukosekana kwa elimu ya kutosha juu ya dodoso la walengwa wa TASAF imesababisha baadhi ya walengwa Kata ya Chilonwa kutoingia katika mfumo wa malipo. Na Victor Chigwada. Asheri Mkosi ni mwenyekiti wa kijiji cha Mahama amesema licha ya…