TANESCO
7 October 2026, 11:04 pm
TAKUKURU yatoa mafunzo kwa watumishi idara ya uhamiaji Manyara
Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Manyara imepokea maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), waliotoa mafunzo kwa watumishi wa Idara hiyo kuhusu umuhimu wa kuzuia, kupambana na kujiepusha na vitendo vya rushwa katika utekelezaji wa majukumu yao.…
28 September 2026, 7:15 pm
Uhamiaji Manyara wataka ushirikiano kudhibiti wahamiaji wasiofuata sheria
Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kushirikiana na Serikali katika kudhibiti uwepo wa wahamiaji wasiofuata taratibu za kisheria nchini kuelekea AFCON. Na Emmy Peter Idara ya Uhamiaji mkoani Manyara imetoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa wananchi kushirikiana na Serikali katika kudhibiti…
30 June 2026, 4:09 pm
GGML yafadhili mapambano ya malaria Manispaa ya Geita
Jumla ya shilingi milioni 200 imetolewa na Mgodi wa GGML kupitia CSR kwa mwaka 2025/2026 ili kufanikisha utekelezaji wa mpango huo kwa kuzingatia vipengele vya uraghibishi, mafunzo kwa wakufunzi, mafunzo kwa watekelezaji na gharama za uendeshaji. Na: Ester Mabula Halmashauri…
18 January 2024, 17:03
Mkuu wa wilaya Kasulu ainyoshea kidole Tanesco
Mkuu wa wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amemtaka meneja wa tanesco kuhakikisha wilaya inakuwa na umeme wa uhakika kutokana na ongezeko la viwanda vidogo vodogo ambavyo haviwezi kuendesha shughuli zake bila nishati hiyo. Kanal Mwakisu amesema hayo…
5 April 2023, 15:00
Chinuguli waomba kuongezewa nguzo za umeme
Wamesema hali hiyo inatokana na idadi ndogo ya nguzo zilizopo katika kijiji hicho ambazo zimeelekezwa katika Taasisi mbalimbali. Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chinuguli Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaongezea idadi ya nguzo za nishati ya umeme ili…
2 February 2023, 14:01
Changamoto ya umeme yakwamisha maendeleo kata ya Loje Chamwino
Kuanguka kwa nguzo za umeme katika baadhi ya maeneo yenye huduma ya umeme katika kata ya Loje imetajwa kusababisha kukosekana kwa kuhuduma hiyo . Na Victor Chigwada Wananchi wa kijiji cha Ingunguli Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali…
23 June 2022, 14:18
TANESCO yazindua huduma ya NIKONECT
Na; Benard Filbert. Shirika la umeme nchini Tanesco limezindua huduma ya kuwaunganishia umeme wananchi kwa haraka inayofahamika kama NIKONEKT ambayo inafanyika mtandaoni pasipo kwenda kwenye ofisi za shirika hilo. Hayo yameelezwa na Sarah Libogoma afisa uhusiano na huduma kwa watejaTanesco…
5 April 2022, 13:37
Uvutaji wa sigara hadharani upigwe marufuku
Na;Yussuph Hassan. Wananchi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kutilia mkazo suala la baadhi ya watu kuvuta sigara hadharani kwani suala hilo limekuwa na madhara makubwa kiafya. Wakizungumza na kituo hiki baadhi ya wakazi hao wamesema kuwa kutokana na baadhi ya watumiaji…
13 September 2021, 11:55
Jamii yaaswa kuepuka matumizi ya sigara wakati huu wa mapambano dhidi ya uviko 1…
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuepuka uvutaji wa sigara hususani wakati wa mapambano dhidi ya UVIKO 19. Akizungumza na Taswira ya habari Dr. Missani Yango kutoka hospitali ya mkoa amesema kuwa sigara ina mchango mkubwa katika kueneza ugonjwa…