Radio Tadio

Stendi

16 Aprili 2026, 16:12

Mpango wa Ardhi waunda mustakabali bora Kiteto

Ripoti hiyo itasaidia kupunguza migogoro ya ardhi katika vijiji ishirini vilivyo ndani ya halmashauri ya Wilaya ya Kiteto. Na Kitana Hamis.   Wilaya ya Kiteto imetangaza ripoti maalum ya mpango wa matumizi bora ya ardhi, ikiwa na lengo la kupunguza…

14 Novemba 2023, 8:54 mu

Mkurugenzi Sengerema aanza kutekeleza Agizo la Paul Makonda

Stendi ya Mwembe yanga ilikuwa msaada mkubwa kwa wananchi kutoka halmashauri ya Buchosa na Geita vijijini kwani hapo awali walikuwa wakiitumia stendi hiyo wanapokuja mjini Sengerema jambo ambalo liligeuka na kuleta changamoto kwa takribani mwaka mmoja baada ya kufunguliwa kwa…

1 Novemba 2023, 5:20 um

Wananchi walia kutelekezwa eneo la stend Sengerema

Ikumbukwe kuwa kwenye mkutano wa Mkuu wa wilaya ya Sengerema Mh. Senyi Ngaga uliofanyika katika eneo la ujenzi wa shule ya sekondari Nyampulukano mwezi Mei mwaka huu ,Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Sengerema Binuru Shekidele aliwaahidi wananachi kuwa stendi hiyo…

19 Aprili 2023, 12:23

CCM Bahi yataka ujenzi wa stendi ya mabasi uchunguzwe

Suala la changamoto ya stendi mpya ya mabasi wilayani Bahi limekuwa likilalamikiwa na wananchi kwa muda mrefu kutokana na changamoto zilizopo eneo la stendi lakini adha kubwa ikiwa ni ongezeko la nauli mara mbili kutoka Bahi mpaka Dodoma mjini. Na…