Radio Tadio

siasa

5 Januari 2026, 3:42 um

Sagayika agusa wahitaji kata ya Kalangalala

“Ibada njema ni yenye kukumbuka watu wenye uhitaji na kuweza kuwasaidia ili waweze kujisikia vizuri kama watu wengine” – Diwani Sagayika Na: Ester Mabula Diwani wa kata ya Kalangalala Mhe. Ruben Emmanuel Sagayika ameuanza vyema mwaka 2026 kwa kuwakumbuka wagonjwa,…

26 Disemba 2025, 2:07 mu

Mbunge Chato Kusini awakumbuka wagonjwa sikukuu ya krismasi

“Ofisi ya mbunge jimbo la Chato Kusini itaendelea kushirikiana na wananchi katika mambo mbalimbali kwaajili ya maendeleo ya jimbo letu” – Joseph James, Katibu wa Mbunge Na: Ester Mabula Mbunge wa Jimbo la Chato kusini Paschal Lutandula amewakumbuka wagonjwa wanaopatiwa…

24 Oktoba 2025, 7:52 um

Wafanyabiashara Kilosa walia na ukosefu wa choo

Soko hilo la Kilabu cha Mtendeni linahudumia watu wengi kila siku, na bila choo, mazingira yameanza kuwa hatarishi kwa kusababisha uchafuzi unaoweza kusababisha magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu. Na Beatrice Majaliwa Wafanyabiashara wa soko la kilabu cha Mtendeni lililopo katika…

Oktoba 22, 2025, 11:15 um

Atakaye kamatwa na trampa faini milioni moja

Mafundi Gereji zaidi ya 200 Krokoni Waeleza Kero Zao kwa Mkuu wa Wilaya Arusha, DC Mkude Aahidi Utekelezaji na Onyo kwa Wanaotumia Trampa Na Jenipha Lazaro Umoja wa Mafundi gereji Krokoni mtaa wa Kitangare, kata ya Kimandolu mkoani Arusha wamemuomba…

18 Oktoba 2025, 5:49 um

Samia aahidi kuimarisha miundombinu Katavi

“kama watampa ridhaa ya kuendelea kuiongoza nchi atahakikisha mkoa wa Katavi unapata kipaumbele katika ujenzi wa barabara na madaraja ili kuunganisha mkoa huo na maeneo jirani ya ndani na nje ya nchi.” Na Restuta Nyondo Mgombea urais wa Jamhuri ya…

4 Septemba 2025, 7:12 um

Vyama vya siasa vyapewa mafunzo maadili, makatazo

Katika sheria ya gharama za uchaguzi kuna maadili na makatazo ambayo Chama,Mgombea au mtu yeyote anayeshiriki uchaguzi hapaswi kuyafanya kipindi cha uchaguzi Na Katalina Liombechi Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa nchini Tanzania imetoa mafunzo kwa viongozi wa vyama…

20 Agosti 2025, 9:00 um

TAG yawakumbuka wajane na wahitaji Geita

Jamii imetakiwa kuendelea kuwakumbuka wajane kwakuwa wengi wao wanapitia changamoto nyingi hususani za kiuchumi Na Kale Chongela: Kanisa la TAG Heri Wenye Moyo Safi Mtaa wa Nyantorotoro B Kata ya Nyankumbu Manispaa ya Geita limetoa msaada wa vyakula kwa watu…

Agosti 13, 2025, 3:18 um

Serikali yatoa msamaha ushuru wa forodha kwa malighafi

‎Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, imeamua kutoa msamaha wa ushuru kwa malighafi zinazoagizwa kutoka nje ya nchi, ikiwa ni hatua ya kuimarisha uzalishaji wa bidhaa ndani ya nchi na kuweka usawa wa bei sokoni. Na Jenipha Lazaro Meneja…

1 Agosti 2025, 6:25 um

Wananchi Kware wapewa onyo matumizi dawa za kulevya

Wananchi wa Kijiji cha Kware kilichopo kata ya Masama Kusini wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wameaswa kuachana na matendo kinyume na maadili na uvunjifu wa amani unaosababisha watu kukosa usalama wao na mali zao,pamoja na kuacha matumizi ya madawa ya…