RUWASA
25 November 2025, 3:22 pm
‘Waokota taka rejeshi wapewe heshima na jamii’
Ikumbukwe kwua Kazi ya ukusanyaji taka rejeshi imeelezwa kuwa ni sehemu muhimu ya uhifadhi wa mazingira na chanzo cha mapato kwa watu wengi, hivyo jamii inapaswa kuondoa dhana hasi na kutambua mchango wa wahusika wa kazi hiyo. Na ;Anwary Shaban.Jamii…
26 September 2025, 2:14 pm
Uzembe kisheria unavyoharibu mazingira Dodoma
Msikilizaji, leo tunazungumzia Kutotekelezwa kwa sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 sura 20 kufungu cha 114-116 kumesababisha kulundikana kwa taka za majumbani katika mitaa ya Chanagnyikeni, Kibaoni na St Gemma katika kata ya Miyuji Jijini Dodoma. Na Mariam…
1 April 2025, 6:25 pm
‘Wananchi wapatiwe elimu ya fursa za taka’
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), linawataka Watanzania kuanza kubadili mtazamo na kuziona taka kama fursa ya kuzirejeleza na kupata bidhaa mbalimbali na kujikomboa kiuchumi. Na Mariam Kasawa.Mamlaka za serikali za mitaa na halmashauri za wilaya…
20 February 2025, 6:02 pm
Mtaa wa changanyikeni Miyuji wageuzwa dampo la Taka
Halmashauri ya jiji la Dodoma imeomba kusaidia kutatua kero ya taka katika eneo hili ili wananchi waweze kuepukana na mrudikano wa taka pamoja na hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko. Na Mariam Kasawa.Wakazi wa mtaa wa Changanyikeni kata ya Miyuji…
7 January 2025, 5:16 pm
Utenganishaji wa taka unavyorahisisha uchakataji wa taka za plastiki
Kama Halmashauri zitatambua aina na kiasi cha taka kinachozalishwa katika eneo lake ni rahisi kutenganisha taka hizo kwa kuyapa rangi tofauti tofauti mapipa au vizimba vinavyokusanya aina tofauti ya taka hizo. Na Mariam Kasawa.Vikundi vya ukusanyaji taka katika maeneo mbalimbali…
19 November 2023, 4:58 pm
RUWASA yakabiliwa na uhaba wa vitendea kazi, wataalam
(RUWASA) ndani ya miaka miwili ya utawala wa awamu ya sita wa Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutoa huduma ya maji vijijini kwa asilimia 74. Na Alex Sayi Wakala wa Maji Safi na Mazingira Vijijini wilayani Maswa mkoani Simiyu RUWASA umebainisha…
9 October 2023, 3:06 pm
Chongolo amtaka Waziri wa maji kufika Karema na Ikola
Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi taifa Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa maji Juma Aweso kuhakikisha anafika kata za Karema na Ikola Kutatua changamoto ya maji Na John Benjamin – Tanganyika Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi taifa Daniel Chongolo…
21 September 2023, 18:46
TAEEs yatoa mafunzo kwa bodi za maji 15 Mufindi
Na Kelvin Mickdady -MufindiFM Bodi za kusimamia vyanzo na usafi wa maji wilayani Mufindi zimetakiwa kuboresha mfumo wa ufanyaji kazi ili kuongeza mapato ya serikali kupitia bodi hizo.Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa halmshauri ya wilaya ya Mufindi Mhe. Festo Mgina…
8 August 2023, 3:22 pm
Wananchi waelimishwa utunzaji wa vyanzo vyanzo vya maji
Licha ya kuwepo kwa Sheria za Usimamizi wa vyanzo vya maji bado umekuwepo uharibifu wa vyanzo vya maji kutokana na kuwepo kwa shughuli za kibinadamu zinazofanyika pasipo kuzingatia Sheria zinazosimamia mazingira na rasilimali maji. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Maji…
12 April 2023, 4:46 pm
Ibihwa watarajia kuondokana na adha ya maji
Mradi wa maji kata ya Ibihwa unatekelezwa na Serikali ya Tanzania kupitia RUWASA wilaya ya Bahi na kusimamiwa na kampuni ya Prest Water and Civil works. Na Bernad Magawa Mradi mkubwa wa maji unaojengwa katika kijiji cha Ibihwa unatajiwa kuanza…