Radio Tadio

Onyo

5 February 2024, 12:23 pm

Ccm yawaonya wasiofata taratibu

Chama cha mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro kimewataka baadhi ya wanachama ambao wamekuwa wakikiuka taratibu za chama kwa kuomba kura kwa wananchi kabla ya uchaguzi kuacha mara moja. Na Elizabeth Mafie Chama cha Mapinduzi (CCM ) mkoa wa Kilimanjaro kimetoa onyo…

2 January 2024, 18:13

Rungwe yaonya wanaotumia taarifa za watumishi kutapeli

Na mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imesema kupitia mitandao ya kijamii na simu za mkononi kumeibuka matapeli wanaoomba taarifa za watumishi wa umma kwa malengo yanayokinzana na sheria,taratibu na kanuni za serikali. Taarifa hiyo imetolewa na…