Radio Tadio

Mpunga

28 October 2025, 3:24 pm

INEC yasisitiza maandalizi ya uchaguzi yamekamilika

Katika taarifa yake, Jaji Mwambegele ametoa maelekezo 10 muhimu ambayo wapiga kura wote wanapaswa kuyazingatia siku ya uchaguzi. Na Lilian Leopold.Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa maelekezo 10 kwa wapiga kura na wadau wote wa uchaguzi kuelekea Uchaguzi…

9 September 2025, 1:30 pm

INEC: Asasi za kiraia zenye kibali zitoe elimu ya mpiga kura

Amesisitiza kuwa taasisi na asasi hizo haziruhusiwi kuwapa watu wengine, taasisi au asasi vibali walivyopewa, na kwamba vibali hivyo vinapaswa kutumiwa na walengwa pekee. Na Yussuph Hassan.Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata…

1 September 2025, 5:34 pm

INEC yawarejesha wagombea ubunge wanne

Uamuzi huu ni sehemu ya kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika kwa uwazi, haki na kwa mujibu wa sheria za nchi. Na Mariam Kasawa. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeendelea na mchakato wa rufaa za wagombea wa nafasi za ubunge…

23 January 2024, 08:43

Nchi 17 kufanya utafiti zao la mpunga nchini

Na mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde. Juma Zuberi Homera amefungua Mkutano wa Afrika ambao umeandaliwa na Tasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa zao la Mpunga Internation Rice Research Institute (IRRI) na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania…

31 October 2023, 11:21 am

Wakulima wa mpunga Bahi wailalamikia tume ya umwagiliaji

Wakulima hao wanasema pamoja na kufuatilia kwa muda mrefu, bado tume ya umwagiliaji  haijaonyesha ushirikiano katika kutatua kero hiyo. Na.  Bernad Magawa Wakulima wa mpunga wilayani Bahi Wameilalamikia tume ya umwagiliaji kwa kushindwa kuwarekebishia miundombinu ya kilimo kwa miaka miwili…

25 July 2023, 5:01 pm

Nini siri ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi?

Wakulima wa eneo hilo wanadai kuwa hawapendelei kutumia mbolea katika kilimo cha mpunga. Na Yussuph Hassan. Licha ya watu wengi kuamini kuwa mkoa wa Dodoma ni eneo kame lakini eneo hili linafaa pia kwa kilimo. Wakazi wa wialaya ya Bahi…

24 July 2023, 5:27 pm

Historia kuanzishwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi

Je, kipi kilichangia msukumo wa kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi? Na Yussuph Hassan Tunaendelea kuitazama historia ya wilaya ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma na leo tunaangalia historia ya kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani humo.