michezo
30 Machi 2026, 09:13
DC Kigoma ataka wasiozingatia usafi kuchukuliwa hatua
Usafi wa mazingira ni jambo muhimu katika maisha ya kila siku ya binadamu, mazingira yanajumuisha sehemu tunazoishi, tunazofanyia kazi, pamoja na maeneo ya kijamii kama vile shule, masoko na hospitali. Na Mwandishi wetu Mkuu Wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid…
26 Machi 2026, 16:36
DC Kigoma aendesha kliniki ya ardhi kutatua migogoro
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid Chuachua leo Machi 25, 2026 ameanza Kliniki ya kutatua migogoro ya ardhi kwa Wananchi wenye matatizo ya ardhi Manispaa ya Kigoma Ujiji. Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wlaya ya Kigoma Dkt. Rashid Chuachua,…
26 Machi 2026, 13:17
Geuzeni taka kuwa chanzo cha kipato
Shirika la Catholic Relief Services (SRC) limeendelea kuwakutanisha makundi mbalimbali ya wananchi kwa lengo la kuwapa elimu ya uchumi rejeshi ili kusaidia kutunza mazingira na kuhifadhi maji ya ziwa Tanganyika Na Mwandishi wetu Wakazi wa Mkoa wa Kigoma wametakiwa kuchangamkia…
21 Machi 2026, 15:21
Kakonko wahimizwa kupanda miti kulinda mazingira
Upandaji miti ni jambo muhimu katika maisha ya binadamu na viumbe wengine duniani na miti imekuwa na mchango mkubwa katika kuhifadhi mazingira, kuboresha hali ya hewa, na kusaidia maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya…
17 Machi 2026, 11:08
Majiko banifu zaidi ya 400 yatolewa kwa wananchi Kasulu
Majiko banifu yamekuwa suluhisho muhimu katika kukabiliana na changamoto za kimazingira na kijamii katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania na kwa muda mrefu jamii nyingi zimekuwa zikitegemea kuni na mkaa kama vyanzo vikuu vya nishati ya kupikia hali ambayo imesababisha…
16 Machi 2026, 12:11
Waoteshaji miti wataka elimu ya upandaji miti itolewe Kibondo
Utunzaji wa mazingira ni jambo muhimu kwa maisha ya binadamu na viumbe wengine duniani na katika miaka ya hivi karibuni, dunia imekumbwa na changamoto kubwa ya mabadiliko ya tabianchi ambayo imesababisha mabadiliko ya hali ya hewa kama vile ukame, mafuriko…
13 Machi 2026, 08:29
Kibondo wahimizwa kutumia majiko sanifu
Majiko sanifu ni majiko yaliyoboreshwa ili kutumia nishati kama kuni au mkaa kwa ufanisi zaidi na katika jamii nyingi, hasa maeneo ya vijijini na mijini, majiko haya yamekuwa na umuhimu mkubwa kwa maisha ya wananchi kwani majiko sanifu huchangia katika…
6 Machi 2026, 11:12
Polis jamii wasisitiza ushirikiano kuibua vitendo vya uhalifu
“Ili kuepuka vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa amani ni lazima familia zitekeleze malezi bora kwa watoto wao” Amesema Insp. Lupa. Na; Irene Cherles Mkaguzi msaidizi wa jeshi la polisi ambaye ni mratibu polisi jamii Wilaya ya Kasulu Insp. Willy…
03/02/2026, 22:03
Operesheni ya polisi Zanzibar 13 wadakwa
Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 13 wanaohusishwa na wizi wa vifaa vya ujenzi kwa njia ya udanganyifu, unyang’anyi wa kutumia silaha pamoja na utapeli wa fedha, kufuatia operesheni iliyoanza tarehe 31…
27 Januari 2026, 15:42
Watumishi Kasulu wapanda miti siku ya kuzaliwa Rais Dkt. Samia
Jamii katika Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma imetakiwa kuwa na desturi ya kupanda miti katika maeneo yanayowazunguka Na Hagai Ruyagila Watumishi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wameadhimisha siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…