
maziwa

7 November 2023, 4:36 pm
Wananchi watakiwa kuacha matumizi ya maziwa mabichi
Baadhi ya watu wanaokunywa maziwa mabichi huenda wasielewe kikamilifu hatari na huenda wasijue uwezekano wa kupata ugonjwa kutokana na bakteria katika maziwa . Na Aisha Alim. Bodi ya maziwa nchini imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya kuepuka matumizi ya maziwa…

28 September 2023, 2:47 pm
Wadau wa tasnia ya Maziwa Nchini watakiwa kupunguza bei ya maziwa
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewaomba wadau wa tasnia ya maziwa nchini kupunguza bei ya maziwa ya Shs 1800 kwa nusu lita ili Mpango wa Unywaji Maziwa kwa watoto wote shuleni ufikie malengo. Kauli hiyo imetolewa jana kwenye…

30 August 2023, 4:58 pm
Jamii yatakiwa kujenga mazoea ya kutumia maziwa
Daktari Malaki amesema kuwa maziwa hayasaidii kusafisha mfumo wa hewa kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakiamini. Na Aisha Alim. Jamii imeshauriwa kujenga mazoea ya kunywa maziwa mara kwa mara ili kuimarisha afya zao kutokana na maziwa hayo kuwa na…

21 June 2023, 4:54 pm
Jamii yahimizwa kutumia maziwa kwa wingi kujenga afya
katika kuadhimisha wiki ya utumishi wa umma bodi ya maziwa imefika katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kutoa elimu ya umuhimu wa kutumia maziwa salama pamoja na kugawa maziwa katika baadhi ya wodi za wagonjwa…

21 July 2022, 1:52 pm
Tanzania yaonyesha kuwa na idadi ndogo ya watu wanao tumia maziwa
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa licha ya uzalishaji wa maziwa kuongezeka nchini bado kuna changamoto kutokana na idadi ndogo ya watu ambao wanatumia maziwa. Hayo yameelezwa na Israel Mwingira afisa uzalishaji kutoka bodi ya maziwa Tanzania wakati akifanya mahojiano katika…