ARUSHA
2 February 2024, 2:27 pm
Mdahalo kufanyika kata kinara kwa ukeketaji Arusha
“Vtendo vya ukeketaji nchini vimepungua lakini vimeongezeka kwa mkoa wa Arusha ambao unaongoza nchini kwa vitendo hivyo” Na. Anthony Masai. Maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupinga vitendo vya ukeketaji nchini yanatarajia kufanyika katika kijiji cha Olchorvosi,kata ya Musa,halmashauri ya…
1 February 2024, 9:14 pm
Mifumo ya mahakama iliyoboreshwa yapunguza idadi ya mahabusu gereza kuu la Arush…
“Wahalifu walipo gereza la Kisongo ni 704,asilimia 70 ni wafungwa na 30 ni mahabusu,tofauti na miaka ya nyuma ambapo ilikuwa kinyume chake” Na. Anthony Masai. Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu kanda ya Arusha Jaji Joackim Tinganga,amesema mabadiliko makubwa yaliyofanyika kwenye mifumo…
1 February 2024, 7:27 pm
DSW lawajengea uwezo vijana kukabili ukatili wa kijinsia na kujitambua
“Mafunzo mliyopatiwa yakawe chachu kwa vijana wengine kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mali ili kuondoa changamoto zitokanazo na ukosefu wa kipato” Na. Anthony Masai. Vijana zaidi ya 50 ambao ni viongozi wa vikundi vya mabadiliko katika mikoa ya Arusha na…
31 January 2024, 7:09 pm
Serikali: Hali ya umeme nchini yaanza kuimarika
“Yalikuwa ni maelekezo ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha umeme unaimarika katika kipindi cha miezi sita” Na. Anthony Masai Serikali imesema hali ya upatikanaji wa nishati ya umeme nchini inaendelea kuimarika licha ya kuwepo kwa upungufu…
19 January 2024, 6:44 pm
Chande: Mabadiliko Posta lazima, dunia ya sasa ni kidijitali
“kuhusu usafirishaji wa mizigo,tumeshafungua vituo vya utimilifu Arusha,Zanzibar,Dodoma na Dar es Salaam ili ndani ya siku mbili mtu akiwa sehemu yoyote duniani anapokea mzigo wake“ Na. Anthony Masai. Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwana Maharage Chande amesema,hakuna namna ambavyo…
11 January 2024, 1:15 pm
Kauli ya mkuu wa mkoa wa Arusha kuhusu watoto kurejea shuleni
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuweka swala la elimu kuwa kipaumbele na kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira mazuri na kuhakikisha wazazi wanawapeleka watoto shule. Na Nyangusi Olesang’ida Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wazazi na…
15 December 2023, 5:56 am
Ubunifu wa mashine ya kuchakata mazao aina 9 unavyowasaidia wakulima Arusha
Kwa mujibu wa Wizara ya Kilimo kupitia taarifa yake ya mwaka 2021 uzalishaji wa mazao ulikadiriwa kufikia tani mil.4 kwa mwaka lakini tani mil.1.5 hupotea kutokana na teknolojia duni. Uchakataji wa mazao nchini hasa kwa wakulima wadogo bado imeendelea kuwa…