Storm FM
Storm FM
2 December 2025, 11:35 am
“Changamoto ya Barabara inatakiwa kutatuliwa ili kukuza uchumi wa wananchi wa Kilolo”. Na Hafidh Ally Mbunge wa jimbo la Kilolo, Dr. Ritta Kabati amefanya ziara ya kikazi katika ofisi za wakala ya barabara za vijijini na Mijini (TARURA) wilaya ya…
1 December 2025, 2:58 pm
Edmund Rutaraka amethibitisha nguvu zake wilayani Hai baada ya kushinda kwa kishindo uchaguzi wa ndani wa CCM, akipata kura 15 kati ya 23 na kurejeshwa rasmi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai. Na Elizabeth Mafie na…
26 November 2025, 5:39 pm
Na Omar Hassan. Taasisi zinazohusika kuzuia na kupambana na usafirishaji haramu wa binaadamu zimetakiwa kutumia ubunifu wa kubaini vyanzo vya uhalifu huo ili kukomesha vitendo hivyo ambavyo vimekuwa vikiwaathiri zaidi wanawake na watoto. Akifungua Kikao cha Wadau wa Serikali kwa…
19 November 2025, 12:17 pm
Wanafunzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu mkoani Manyara wametakiwa kuacha kujiingiza katika makundi yasiyofaa ya kujihusisha na utumiaji wa dawa za kulevya kwakua itachangia kushuka kwa elimu na kupoteza nguvu kazi ya Taifa. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza na…
13 November 2025, 3:48 pm
Jamii imeaswa kuacha tabia ya kutumia mitandao ya kijamii kuwaumiza na kuwadhalilisha watu wengine, kufanya hivyo ni uvunja haki za watu na kinyume na sheria za nchi. Na Omar Hassan Jamii imeaswa kuacha tabia ya kutumia mitandao ya kijamii kuwaumiza…
12 November 2025, 3:57 pm
Na Omar Hassan. Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia Katiba na Sheria Afisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mzee Ali Haji ameshauri kuangaliwa kwa kina sababu zinazopelekea kuongezea kwa vitendo vya udalilishaji wa kijinsia ili hatua za kupunguza udhalilishaji…
21 October 2025, 5:30 pm
Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Babati mjini Simon Mumbee ametoa elimu ya upigaji kura kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika october 29 mwaka huu, ambapo amewataka wananchi kufika kwenye vituo vya kupigia kura kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa…
19 October 2025, 9:18 pm
Na Mary Julius. Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Awadhi Ali Saidi, ameliomba Jeshi la Polisi kuendeleza mashirikiano mazuri yaliyopo na kuendelea kujitolea kwa hali ya juu katika kulinda usalama na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa October 29,…
15 October 2025, 3:53 pm
Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Kanda ya Zanzibar limeendesha operesheni maalum katika mikoa mitatu ya Unguja kufuatia kuongezeka kwa matukio ya wizi wa pikipiki, ambapo jumla ya watu 17 wamekamatwa kwa tuhuma za kuhusika na mtandao wa wizi na…
October 3, 2025, 9:56 pm
Kusanyiko la ushirikishwaji wa jamii na uhamasishaji wa haki ya juu, kuweka mkakati wa mawasiliano mazuri kuitangaza Butiama FM Radio 93.1. Na Swaiba Oscar Mkuu wa mkoa ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi kwenye kusanyiko hilo aliongoza na kuwasihi wananchi wa…