Storm FM

uchumi

July 28, 2025, 6:06 pm

Kahama wahimizwa kujikinga na homa ya ini

”Jamii inapaswa kujikita zaidi katika kujikinga dhidi ya maradhi ya ugonjwa wa homa ya ini kwa kuwa ni ugonjwa hatari na unaochukua maisha ya watu wengi duniani” Na John Juma Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamehimizwa…

26 July 2025, 07:25

Ask. Pangani azindua shule Moravian Mwangaza Academy

Maendeleo ya elimu yanategemea mchango mbalimbali wa wadau wanaojitikeza kuwekeza katika sekta hiyo.‎‎ Na Hobokela Lwinga Askofu Robert Pangani  wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi amezindua rasmi shule Moravian Mwangaza Academy inayopatikana katika jimbo la mission mkoani…

23 July 2025, 6:13 pm

Madeni, ugumu wa maisha chanzo watu kujiua Kagera

Wimbi la watu kujiua au mauaji dhidi ya watu wengine limeendelea kutikisa mkoa wa Kagera licha ya kuwa hakuna utafiti rasmi wa sababu za tatizo hilo. Na Theophilida Felician, Bukoba Maisha magumu, upweke, migogoro ya ndoa, wivu wa mapenzi, madeni…

18 July 2025, 7:20 pm

Wanawake zaidi ya 200 wakimbilia VETA Chato

Wanawake mkoani Geita wameendelea kuchangamkia fursa ya elimu ya ufundi katika vyuo mbalimbali vilivyopo mkoani humo ili kujikwamua kiuchumi. Na Kale Chongela: Zaidi ya wanawake 200 wakazi wa wilaya ya Chato mkoani Geita wanaonufaika na mafunzo ya ufundi stadi  katika…

23 June 2025, 7:06 pm

Wanaonyimwa unyumba watakiwa kuripoti

Idadi kubwa ya wanaume wanafanyiwa vitendo vya ukatili wa kimwili kwa kunyimwa tendo la ndoa, lakini usiri ndio unapelekea kufikia hatua mbaya hata kufanya mauaji ya wenza wao au kujikatisha uhai wenyewe. Na Adelphina Kutika Wanaume wanaokumbwa na Ukatili wa…

May 31, 2025, 3:34 pm

Kahama yatakiwa kuwapa motisha wauguzi

Waaguzi katika Manispaa ya Kahama wamepewe motisha kutokana na kazi ngumu na hatarishi wanayofanya Na Sebastian Mnakaya Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita amemuelekeza Mkurugenzi wa Manispaa ya kahama Masudi Kibetu kutoa motisha kwa wauguzi wanaofanya kazi katika mazingira…

May 31, 2025, 3:21 pm

Wanawake, vijana Kahama kupata elimu ya afya ya akili

Serikali wilayani Kahama imewapongeza na kuwashukuru shirika la suluhisho la wanawake na vijana (Wayds) kwa kuandaa na kuratibu kongamano la afya ya akili. Na Sebastian Mnakaya Serikali wilayani Kahama imewapongeza na kuwashukuru shirika la suluhisho la wanawake na vijana (wayds)…

20 May 2025, 4:17 pm

Waliokosa mkopo wa 10% waandamana Geita

Mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri imezua kizaa zaa baada ya baadhi ya watu kukosa katika halmashauri ya manispaa ya Geita. Na: Kale Chongela: Baadhi ya wananchi kata ya kalangalala, halmashauri ya manispaa ya Geita wamelalamikia kitendo cha kukosa…