Storm FM
Storm FM
10 October 2025, 18:44
Watumishi mbalimbali wanao pata masomo ya theolojia watakiwa kumtumikia Mungu kutokana na elimu wanayo ipata. Na Kelvin Lameck Wahitimu wa masomo ya theolojia katika chuo cha biblia Utengule kinachomilikiwa na kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi wametakiwa kutumia…
10 October 2025, 2:37 pm
Kurunzi Maalum Utupaji hovyo wa taka ngumu kama plastiki, chupa, matairi na vifaa vya elekroniki unazidi kuwa tatizo kubwa kwa mazingira, taka hizo huchukua muda mrefu sana kuoza, mara nyingi taka hizi huzuia mifereji ya maji, kusababisha mafuriko na kutoa…
8 October 2025, 22:30
Kanisa la Moravian Tanzania kupitia majimbo yake limekuwa na mikutano mikuu ambayo hutoa fursa ya kufanya uchaguzi wa kidemokrasia kupata viongozi. Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la limefanya mkutano Mkuu (sinodi)na kufanikiwa kupata askofu wa kwanza katika…
5 October 2025, 11:45
kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29,Oktoba 2025 viongozi wa dini wameendelea kuhimiza waumini kuombea taifa ili kuvuka salama. Na Ezekiel Kamanga Mchungaji Nelson Mwaisango Mwenyekiti pia Katibu mstaafu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini amewataka waumini wa…
25 September 2025, 15:50
Kusaidia watu wenye mahitaji ni sehemu ya maagizo ya Mungu kwenye maandiko Matakatifu yaani Biblia Yakobo 1:27 inasema “Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda…
25 September 2025, 15:46
Serikali imesema itaendelea kuweka mikakakti ya kuwawezesha wanafaika wa mikopo ya asilimia kumi ili waweze kujiinua kiuchumi Na Sadick Kibwana Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt Rashid Chuachua, ametoa wito kwa wananchi zaidi ya 500 ambao ni wanufaika wa mikopo…
25 September 2025, 14:13
Mungu anapendezwa na wewe watu wanaojitoa kufanya kazi yake duniani ukisoma Kitabu kitakatifu cha Biblia Hagai 1:8 inasema “Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA.” Na Hobokela Lwinga Zaidi ya shilingi milioni 380 zimetumika katika…
18 September 2025, 15:30
Wananchi wa Kata ya Kagera Manispa ya Kigoma Ujiji, wameomba mgombea ubunge wa jimbola Kigoma mjini Zitto Kabwe kuwasiadia kutatua changamoto ya uwepo mikopo umiza. Na Mwandishi wetu Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto…
12 September 2025, 08:24
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoani Kigoma imezindua dawati la uwezeshaji biashara ili kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa kuinuka kiuchumi huku wakiomba dawati hilo kusaidia kuondoa changamoto ya kubambikizwa kodi. Na Kadislaus Ezekiel Mamlaka ya mapato (TRA) Mkoa Kigoma imesema…
11 September 2025, 18:02
Wanadamu wametakiwa kujachungu njia nyembamba itakayo wasaidia kuurithi ufalme wa mbinguni siku ya mwisho. Na Ezra Mwilwa Askofu wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mch. Robert Pangani amewataka wakristo na watu wote kuchagua njia njema inayompendeza mungu…