Storm FM
Storm FM
28 November 2025, 2:02 pm
Wakulima mkoani Manyara wametakiwa kulima kilimo cha kisasa kwa kutumia mbegu na viuatilifu bora pamoja na kuzingatia ushauri unaotolewa na wataalamu wa kilimo katika maeneo yao. Na Mzidalfa Zaid Wito huo Umetolewa na mwakilishi wa mkurugenzi wa halmashauri ya mji…
14 November 2025, 12:19 pm
Afisa Kilimo, Elton Dickson Mtani, jamii inapaswa kupunguza matumizi ya mbolea za viwandani, kuacha ukataji miti hovyo na kuepuka uharibifu wa vyanzo vya maji, ili kulinda mazingira. Na Catherine Msafiri, Jamii imetakiwa kutunza mazingira na kupunguza shughuli za kibinadamu zinazochangia…
3 September 2025, 9:53 am
Kila Jumatano ya kwanza ya kila mwezi mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) hutangaza bei kikomo za mafuta ya Petroli, Dizeli na mafuta ya taa. Na: Ester Mabula Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati…
19 August 2025, 19:23
Kwa kutoa taarifa ya vitendo vya rushwa, wananchi wametakiwa kuwasilisha taarifa hizo katika ofisi za TAKUKURU za mkoa na wilaya au kupiga simu bure 113. Na Hobokela Lwinga TAKUKURU mkoa wa Mbeya limefanikiwa kuokoa Zaidi ya shilingi milioni 47 katika…
8 May 2025, 10:43 am
Kila Jumatano ya kwanza ya mwezi, Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) hutangaza bei mpya kikomo za mafuta ya Petrol, Diesel na Mafuta ya taa. Na: Ester Mabula: Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati…
4 June 2021, 1:06 pm
Na;Mindi Joseph . Asilimia 1 ya pato la Taifa inatajwa kupotea kila mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi huku ikikadiriwa watu milioni 1.6 wanaoishi ukanda wa pwani watakabiliwa na changamoto ya athari za mabadiliko ya tabia nchi ifikapo mwaka…