Storm FM

ewura

3 December 2025, 5:47 pm

RC Sendiga kutembelea kata 142 Manyara

Mkuu wa mkoa wa manyara, Queen Sendiga, anatarajia kuanza ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi pamoja na kutemblea miradi mbalimbali na ziara hiyo  itafanyika chini ya kampeni maalum iitwayo “tunavua buti ama hatuvui, tukutane saiti”, ikiwa ni muendelezo wa…

14 November 2025, 1:00 pm

Wagonjwa wapya wa shinikizo la damu wabainika

Dr. Victor Christopher hospitari ya rufaa ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere inapokea wagonjwa wengi wapya kwa mwezi takribani 2500 hadi 3000. Na Catherine Msafiri, Imeelezwa kuwa uzito mkubwa, unywaji wa pombe kupita kiasi, ulaji wa chumvi nyingi vyatajwa kuwa miongoni…

26 August 2025, 20:06

Wahitimu darasa la saba watakiwa kuepuka makundi maovu

Kutokana na maendeleo ya sayansi na tekinolojia baadhi ya makundi ya vijana wamekuwa wakitumia maendeleo hayo kwa mlengo chanya na hasi. Na Hobokela Lwinga Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Robert Pangani, amewataka wanafunzi wahitimu Darasa…

8 May 2025, 10:43 am

Bei mpya za mafuta kwa mwezi Mei zinazotumika Geita

Kila Jumatano ya kwanza ya mwezi, Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) hutangaza bei mpya kikomo za mafuta ya Petrol, Diesel na Mafuta ya taa. Na: Ester Mabula: Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati…