Storm FM

barabara

12 December 2025, 18:53 pm

Wakulima wataka ufumbuzi utofauti bei ya korosho

Wakulima wa korosho Nanyamba wamelalamikia tofauti kubwa ya bei ukilinganisha na Tandahimba, hali inayowalazimisha kuhamishia mazao yao Tandahimba Na Musa Mtepa Baadhi ya wakulima wa zao la korosho wamehoji juu ya utofauti wa bei ya korosho unaojitokeza sokoni kati ya…

10 December 2025, 21:16 pm

Wananchi kuchangia 2,000 kumleta mganga wa asili kijijini

Wananchi wa Kitongoji cha Nunu, Msakala, wameamua kuchangia shilingi 2,000 kwa kila nyumba ili kumleta mganga wa jadi baada ya hofu ya “mlipuko wa ugonjwa wa moyo.” suluhisho Na Musa Mtepa Katika hali ya kushangaza, wananchi wa kitongoji cha Nunu…

9 December 2025, 12:25 pm

Jamii yahimizwa kuepuka hisia katika kutatua migogoro

Afisa wa TASA, imeitaka  jamii kutenga muda wa kufikiria na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro, ikisisitiza kuepuka hisia na kutoegemea upande wowote Na Musa Mtepa Jamii imetakiwa kutenga muda wa kufikiria, kuchakata na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro…

8 December 2025, 11:14 am

Wakulima wa mwani Naumbu walia na soko

Serikali imeombwa kuongeza wanunuzi wa zao la mwani ili kuboresha ushindani wa soko huku wakulima wakilalamikia bei ya shilingi 800 ambayo haiendani na gharama za uzalishaji na usafirishaji kutoka baharini Na Musa Mtepa Wakulima wa mwani kutoka Kijiji cha Naumbu,…

5 December 2025, 5:45 pm

‘Madhila ya ukatili kwa wanawake Mwaloni’

Na Hamisi Makungu. Kipindi cha Sauti ya Mwanamke kimeangazia Mabadiliko ya tabianchi yanavyopelekea ukatili wa kijinsia, hasa kwa wanawake waliopo kwenye mnyororo wa uchumi wa buluu. Katika Mjadala kupitia kipindi hiki, wanawake wachuuzi wa Samaki wamepaza sauti zao juu ya…

5 December 2025, 11:45 am

COP 30 yaongeza uwajibikaji kwa wakulima

Mwongozo wa uwazi utasaidia kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi katika Jamii na kukuza uwajibikaji kwa wakulima. Na Joyce Buganda Mkutano wa COP 30 umefanikiwa kuweka muongozo wa wazi katika masuala ya fedha na kuongeza uwajibikaji wa mataifa yalioendelea katika kutekeleza…

2 December 2025, 10:38 am

Dola mil. 20 kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Na Joyce Buganda Tanzania inatarajiwa kunufaika na fedha hadi dola million 20 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia mfuko wa kukabiliana na hasara na uharibifu. Nuru FM imekuandalia makala hii maalum…