Storm FM

ajali

8 December 2025, 5:11 pm

Magari ya shule yakaguliwa Manyara

Wamiliki wa magari ya shule mkoani  Manyara wametakiwa  kusimamia magari ya kubeba wanafunzi  na kuhakikisha magari hayo ni mazima ili kuondokana na ajali zinazo sababishwa na magari mabovu. Mkuu wa kikosi cha usalama bara barani mkoa wa Manyara Michael Mwakasungula,…

4 December 2025, 14:17

DC Kigoma asisitiza wanafunzi kupata chakula shuleni

Chakula ni sehemu muhimu sana katika maisha ya mwanafunzi shuleni hasa walio katika umri wa ukuaji, wanahitaji virutubisho vya kutosha kama protini, vitamini, madini, na wanga ili miili yao ikue kwa afya lishe duni inaweza kusababisha kudumaa, udhaifu, na magonjwa…

24 November 2025, 12:32

Wazazi watakiwa kuchangia chakula shuleni Kibondo

Wazazi na Walezi Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na desturi ya kuanda lishe bora kwa watoto Na Dotto Josephati Wazazi Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wanatakiwa kuongeza juhudi kwa kuwachangia chakula cha watoto wao shuleni ili iwasaidie kuongeza ufanisi wa…

17 November 2025, 13:20

Wananachi Kigoma waaswa kuzingatia lishe bora

Na Timotheo Leonard Wananachi Mkoani Kigoma wameaswa kuzingatia lishe bora ya  makundi sita ya vyakula ili kuimarisha afya zao kwa  kuongeza virutubishi mwilini vinavyoimarisha  mwili na akili. Kauli hiyo imetolewa na Afisa lishe Mkoa wa Kigoma James Mbalabo wakati akizungumza na…

8 October 2025, 5:49 am

Picha: Ajali yaua mmoja, kujeruhi wengine Geita

Licha ya elimu na jitihada mbalimbali zinazofanywa kuzuia ajali za barabarani, bado matukio ya ajali yamekuwa yakitokea na kupelekea vifo, majeruhi pamoja na uharibifu wa mali. Na: Mrisho Sadick Mtu mmoja amefariki Dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya…

30 September 2025, 7:16 pm

Wazazi watakiwa kuwekeza elimu kwa watoto

Na Marino Kawishe  Wazazi na Walezi wamehimizwa kutokuchoka kujinyima na kuwekeza kwa watoto wao ili wapate elimu bora itakayowasaidia kuchangamkia fursa mbali mbali  wanapokuwa wamehitimu mafunzo yao. Akizungumza na wananchi mkoani Manyara kwenye mahafali ya kumi ya shule ya Amka…

15 September 2025, 09:20 am

CCM Mtwara Mjini yataka mafiga matatu Oktoba 29

CCM Mtwara Mikindani yazindua kampeni Septemba 14, 2025, kwa wagombea ubunge na udiwani. Rehema Sombi ataka mshikamano na ushindi wa “mafiga matatu” – Diwani, Mbunge, Rais. Joel Nannauka na Arif Primji waahidi maendeleo na huduma bora kwa wananchi kupitia sera…

4 September 2025, 10:38 am

Wanaobana mkojo hatarini figo kufeli

” Kukaa na mkojo kwa muda mrefu kunaweza kusababisha figo kushindwa kufanya kazi” Na Anna Mhina Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuacha tabia ya kubana haja ndogo kwa muda mrefu (mkojo) ili kuepukana na madhara…