Sibuka FM

Wafanyabiashara

19 April 2024, 11:49 am

Samwel na Godi mikononi mwa Dc Maswa kwa kukwepa kulipa kodi

Lazima tuwe wakali kwa wafanyabiashara ambao wamekuwa wanaihujumu Serikali yetu ya Tanzania kwa kukwepa kulipa kodi pale wanapouza na kununua bidhaa na kushindwa kutoa listi za mashine zenye thamani sawa na bidhaa husika. Na, Daniel Manyanga  Mkuu wa wilaya ya…

17 April 2024, 10:49 am

DC Maswa ataka ushirikishwaji wa sekta binafsi kuleta maendeleo

Sekta binafsi ni mdau muhimu sana wa maendeleo katika kuwaletea maendeleo wananchi wetu, nendeni mkashirikiane nao, sikilizeni changamoto zao na kuzitatua. Na, Daniel Manyanga  Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amezitaka sekta binafsi na sekta za umma…

28 February 2024, 11:15 am

DC Kaminyoge atoa ufafanuzi  changamoto ya sukari wilayani Maswa

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Mh,  Aswege  Kaminyoge  ametoa ufafanuzi  kuhusu  Changamoto  ya  Kupanda  kwa  bei  ya  Sukari   na  kutoa  maelekezo  ya  Serikali  kuhusu  upatikanaji  wa  Bidhaa  hiyo. Kaminyoge  amesema  hayo  wakati  akizungumza  na  Wafanyabiashara  wa  Maswa na …

2 December 2023, 7:44 am

Kamati ya siasa Maswa yaridhishwa utekelezaji miradi ya maendeleo

Kamati  ya Siasa ya  chama  cha  Mapinduzi   (CCM) Wilaya  ya  Maswa  ikiongozwa  na  Mwenyekiti wa  Chama  hicho   Ndugu  Onesmo   Makota Imetembelea   na  Kukagua  Miradi  mbalimbali  ya  Maendeleo inayotekelezwa  katika  Jimbo  la  Maswa  Magharibi. Miradi  iliyotembelewa  na  kukaguliwa  na  Kamati  hiyo …