Sibuka FM
Sibuka FM
9 April 2025, 3:41 pm
“Bado tunakila sababu kwa mamlaka husika kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya madhara ya kujenga kwenye mikondo ya maji maana kila kiongozi yakitokea maafa kama ya mafuriko tunaanza kuwaambia wananchi madhara ya kujenga bondeni Je? Kipindi wanaanza ujenzi mamlaka…
2 April 2025, 8:04 pm
“Hivi hatuwezi kumaliza kabisa suala la fisi mkoani hapa? Siku chache zilizopita matukio kama haya yaliripotiwa katika wilaya za Itilima na Maswa leo hii wameingia mjini Bariadi je, ni kweli hatuwezi au ndiyo kusema bado hatujaamua kufanya hivyo? Naomba kwenye…
1 April 2025, 5:27 pm
“Maneno ya wanasiasa yenye viashiria vya uvunjifu wa amani yasipuuzwe lazima tuweze kuchukua hatua kwa hao viongozi maana amani tuliyonayo Kuna nchi zingine huko kila kukicha wanatafuta amani na hawajui lini wataipata hiyo amani fikra zangu tu ivi kwani sheria…
30 March 2025, 8:40 am
Padre Dkt Aidan aliyevaa kofia akiwa na wadau mbali mbali wa mazingira katika shule ya sekondari Mawenzi katika siku yake ya Kuzaliwa(picha na Elizabeth Mafie) Wakati baadhi ya watu duniani wakisheherekea siku zao za kuzaliwa kwa kukata keki,imekuwa tofauti kwa…
28 March 2025, 10:11 am
“Hatuwezi kukaa kimya kwa wale ambao walichukua fedha za halmashauri na kwenda kujikwamua kiuchumi lakini linapokuja swala la kurejesha wanaingia mitini haiwezekani halmashauri ibane matumizi kwa ajili ya mikopo halafu watu wasirudishe ifike sehemu wajuwe hizi ni fedha za walipa…
25 March 2025, 11:33 am
RUNGWE -MBEYA Na Neema Nyirenda Serikali imeombwa kuboresha miundombinu ya masoko yote nchini kwani kutasaidia kuinua uchumi wa watumiaji wa masoko hayo na Taifa kwa ujumla Hayo yameelezwa na wafanyabiashara wa ndizi soko la mabonde lililopo kata ya Msasani wilayani…
19 March 2025, 4:55 pm
‘‘Aliyesema kuwa elimu ni ufunguo wa maisha ni kweli hakukosea ndiyo tunawatu wengi sana ambao hawakuweza kupata elimu ndani ya mfumo rasmi lakini haimaanishi kuwa watu hawa wasiweze kupata fursa ya elimu hata ya ufundi stadi ili kuondoa utegemezi kwenye…
18 March 2025, 9:20 pm
“Elimu ya usalama barabarani bado haikwepeki hivyo mamlaka husika zinao wajibu wa kutoa elimu hasa kwa makundi ambayo yanaweza kuwa msaada mkubwa wa kufikisha elimu kwa jamii kubwa”. Na, Daniel Manyanga Katika kuhakikisha ajali za barabarani zinaisha au kupungua mkoani…
13 March 2025, 1:04 pm
“Je sheria zetu zinasemaje mtu mpaka kuanza kumiliki nyara za serikali bila kuwa na kibali chochote kutoka kwa mamlaka za uhifadhi wanyamapori huyo mnyama mpaka anaanza kumilikiwa je ! mamlaka za uhifadhi tulikuwa wapi kuzuia vitendo hivyo ni fikra zangu…
12 March 2025, 12:19 pm
“Hatuwezi kuendelea kuona watu ambao wanapambana katika kujikwamua kiuchumi kwa kufanya shughuli mbalimbali wanarudishwa nyuma na watu ambao hawana nia njema ya kujenga uchumi wa mtu mmoja mmoja hadi Taifa kwa ujumla lazima tuwajibishane kwa kufuata sheria ili kukomesha tabia…
3 March 2025, 12:36 pm
Halmashauri Wilayani Maswa Mkoani Simiyu imeendelea na adhima yake ya kuhakikisha inaongeza ukusanyaji wa mapato kwa kuanzisha vyanzo vipya vya mapato kwa lengo la kuharakisha maendeleo Wilayani hapo Na, Alex Sayi-Maswa Simiyu. Halmashauri wilayani Maswa mkoani Simiyu imeanzisha gulio na…
26 February 2025, 11:46 am
DC mpya Wilayani Maswa Mkoani Simiyu awataka watumishi na watendaji kutafsiri maono ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa vitendo,hali itakayoisaidia Wilaya hiyo kupiga hatua za kimaendeleo. Na,Paul Yohana-Maswa-Simiyu Mkuu mpya wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Dkt,Vincent…
26 February 2025, 10:34 am
Watumishi wilayani Maswa mkoani Simiyu wakumbushwa kuwajibika kwa weledi ili kuendana na kasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na,Alex Sayi-Maswa Simiyu Mkuu mpya wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Dkt, Vincent Anney amewakumbusha watumishi Wilayani hapa kuhakikisha…
24 February 2025, 3:51 pm
‘‘Hakuna mtu yeyote atakayetoka nje ya nchi kuja hapa nchini kwetu kutuambia namna bora ya kulifanya taifa letu liweze kusonga mbele katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ili kufikia malengo mama ya taifa kama sisi wenyewe hatutaweza kulipa kodi kwa…
19 February 2025, 8:30 pm
“Uongozi siyo kupiga kelele ni kuleta mabadiliko chanya katika eneo lako la kiutawala kama kuna changamoto zozote zile kwa wananchi tuanataka utuambie umefanya nini kuzitatua hizo shida ili jamii iseme kweli hapa tunakiongozi na siyo msindikizaji viongozi”. Na, Daniel Manyanga …
15 February 2025, 12:40 pm
‘‘Kilimo ni moja wapo ya sekta ambayo imeajiri watu wengi sana na nimuhimu sana katika ujenzi wa taifa maana hatuwezi kuwa na uchumi imara wakati watu wake wanalia njaa hiyo siyo ajenda ya taifa lazima wakulima tuwalinde na kuwapa thamani…
14 February 2025, 4:55 pm
“Hatuwezi kuendelea kuona wakulima wanakosa thamani pindi wanapouza mazao yao wakati wanahangaika kulima alikuwa mwenyewe bila ya usaidizi wowote wa wanunuzi”. Na, Daniel Manyanga Mkuu wa wilaya ya Maswa mkoni Simiyu Aswege Kaminyoge amesema kuwa serikali ya wilaya hiyo haitasita…
13 February 2025, 10:37 am
Storm FM imemtafuta Kamanda wa polisi mkoa wa Geita SACP Safia Jongo juu ya wimbi la wizi wa mifugo aina ya ng’ombe ambao umeendelea kushamiri mkoani Geita. Na: Edga Rwenduru – Geita Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita SACP Safia…
10 February 2025, 6:30 pm
“Kama taifa limeweka kuwepo na mitihani ya kupima uwezo wa uelewa kwa wanafunzi juu ya kile wanachofundishwa na walimu shuleni sasa inatoka wapi tena nguvu ya walimu kuwasaidia wanafunzi hatuoni kwamba tunatengeneza taifa la wanafunzi tegemezi wa akili”. Na, Daniel…
5 February 2025, 5:06 pm
“Usalama wa raia na mali zake siyo jukumu pekee la jeshi la polisi nchini lakini tukishirikiana na jamii kwa ukaribu kupitia jeshi la jadi sungusungu tunaweza kumaliza vitendo vya kiahilifu katika maeneo yetu ya bila kutegemea hata jeshi la polisi…