Radio Kwizera
Radio Kwizera
June 14, 2025, 10:09 am

Shule ya msingi Mtakuja kata ya Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita ina wanafunzi wapatao elfu 1 lakini vyumba vya madarasa havitoshi kulingana na idadi ya wanafunzi.
Na Samwel Masunzu- Geita
Wanafunzi wa darasa la tano na la sita katika shule ya msingi Mtakuja kata ya Lulembela wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, wanalazimika kusomea chini ya miti kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa
Kwa taarifa zaidi Mwandishi wetu Samwel Masunzu anatueleza.
