Recent posts
20 February 2023, 13:11 pm
Kisa cheje auwawa na kutupwa kando ya bahari
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limesema linaendelea kufanya uchunguzi wa mauaji ya mwanaume mmoja aitwaye Abdul Shaa Abdulmajidi mwenye umri wa miaka 47, ambaye amekutwa akiwa amefariki baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mtu au watu…
16 February 2023, 10:55 am
Mzee Mkuchika aiomba serikali daraja kilambo kuinganisha Mtwara na Msumbiji
Waziri wa nchi ofisi rais kazi maalum Kapteni mstaafu George huruma Mkuchika akizungumza katika kikao cha bodi ya barabara mkoani Mtwara, kilichofanyika katika ukumbi wa Boma ameiomba serikali kutengeneza daraja katika mto Ruvuma ili kuunganisha mkoa wa Mtwara na nchi…
7 February 2023, 13:31 pm
Mamcu & Tanecu zarejesha kwa jamii
Chama Kikuu cha Ushirika wa Mazao cha Masasi, Mtwara Cooperative Union (MAMCU) na Tandahimba, Newala Cooperative Union (TANECU) vimetoa Gawio la Shilingi Milioni 253 kuchangia utatuzi wa changamoto zilizopo katika sekta za Elimu, Maji na Afya kwa mkoa wa Mtwara.…
7 February 2023, 11:58 am
Aondolewa kwenye makazi baada ya miaka 24
Na Zainabu Jambia Uongozi wa Serikali ya mtaa wa Namtibwili kata ya Chuno manispaa ya Mtwara- Mikindani, mkoani Mtwara umesikitishwa na kitendo kilichofanywa na kampuni moja ya udalali iliyotajwa kwa jina la Adili, kuiondoa kwa nguvu kwenye nyumba familia ya…
3 February 2023, 12:14 pm
Zahanati Mnyawa mikononi mwa mkuu wa mkoa
Wameiomba serikali kusaidia ukamilishaji wa ujenzi wa kituo cha afya ili kuwapunguzia adha ya kujifungulia majumbani mwao. Na Hamza Ally Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas amemwagiza Mhandisi wa wilaya ya Tandahimba m kufanya tathmini ya gharama za…
31 January 2023, 12:23 pm
Hekima na busara, sababu ya amani msimbati
Jaji Mfawidhi wa Makahama Kuu ya Kanda ya Mtwara Mhe.Zainab Muruke amemtaja mzee Issa Mohamed Mkumba kuwa ni kinara wa kutatua changamoto za migogoro katika jamii bila kufikishana katika vyombo vya usuluhishi na Mahakama. Na Hamza Ally Mzee Mkumba amekua…
30 January 2023, 12:32 pm
Apatikana akiwa amefariki eneo la mpakani
Na: Hamza Ally Taarifa za awali zinadai kuwa mwili wa Elvida Anael maarufu kwa jina la Mama Chamicha, ambaye ni mstaafu wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani idara ya Mifugo toka mwaka 2020, umekutwa maeneo ya mpakani mwa Mkoa wa…
13 December 2022, 11:14 am
Bandari Mtwara inavyokabiliana na vumbi la makaa ya mawe
na Mc Kaluta Mizinga sita ya kumwaga maji (Misty Cannon Sprayer) imefungwa katika bandari ya Mtwara ili kudhibiti vumbi la makaa ya mawe kutoka katika maeneo hayo. Lakini pia magari ya kumwaga maji na kunyonya vumbi yanafanyakazi kutwa nzima ili…