Pangani FM

MFUMUKO WA BEI

19 May 2023, 2:57 pm

Miradi 9 kumulikwa na mwenge wa uhuru Pangani

Na Saa Zumo Miradi tisa ya kimaendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.8 inatarajiwa kukaguliwa katika mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2023 wilayani Pangani mkoani Tanga. Akizungumza katika kikao cha tathmini ya mapokezi ya mwenge wilayani Pangani…

10 May 2023, 12:12 pm

Simba wavamia na kuua mifugo Pangani.

Wananchi wilayani Pangani Mkoani Tanga hususan wanaokaa ng’ambo ya mto Pangani kuanzia kijiji cha Bweni wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya wanyama aina ya Simba waliovamia baadhi ya vijiji. Kuanzia mwisho wa mwezi Aprili mwaka 2023 kumekuwa na matukio ya kuonekana…

27 March 2023, 12:23 pm

Tree of Hope wabaini haya Pangani

Shirika lisilo la Kiserikali TREE OF HOPE lenye makao yake makuu jijini Tanga limekutana na wadau wa elimu katika vijiji vya Ubangaa, Stahabu, Kipumbwi na Mkalamo katika mdahalo uliolenga kujadili changamoto za elimu wilayani Pangani. Akizungumza na Pangani FM baada…

24 March 2023, 9:16 am

Siku ya Kifua Kikuu Duniani 2023

Leo ni siku ya Kifua Kikuu au TB duniani kwa mujibu wa Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif amesema kila mwaka, Watu 137,000 wanaugua Kifua Kikuu (TB) na wanaofariki ni 32,000, sawa…

18 March 2023, 4:39 pm

Waandishi wa Habari waanza mafunzo ya mguso Dodoma.

Na Erick Mallya Waandishi wa Habari kutoka vituo 19 vya Tanzania bara na visiwani wameanza mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo katika Kuimarisha utangazaji wa jinsia ndani na kupitia vyombo vya Habari. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Shirika la UZIKWASA lililopo wilayani…

17 March 2023, 3:08 pm

Wakufunzi 10 kubadili vyombo vya habari kijinsia

Na Erick Mallya Shirika la UZIKWASA lililopo wilayani Pangani Mkoani Tanga kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limehitimisha  mafunzo maalumu ya siku 4 yaliyowakutanisha viongozi waandamizi wa vyombo vya Habari vya Tanzania bara…

14 March 2023, 1:13 pm

Nguvu ya mafunzo ya mguso kuboresha vyombo vya habari

Kwa miaka mingi Shirika la UZIKWASA limekuwa likitoa mafunzo ya ‘mguso’ ambayo yamekuwa yakiwawezesha watu binafsi kutafakari nafasi zao katika kuchochea mabadiliko chanya pamoja na mabadiliko ya kitaasisi na Jamii kwa ujumla. Na Erick Mallya Shirika la UZIKWASA lililopo wilayani…

13 March 2023, 2:18 pm

UZIKWASA yawakutanisha viongozi wa vyombo vya Habari Tanzania

Kwa miaka mingi Shirika la UZIKWASA limekuwa likitoa mafunzo ya ‘mguso’ ambayo yamekuwa yakiwawezesha watu binafsi kutafakari nafasi zao katika kuchochea mabadiliko chanya pamoja na mabadiliko ya kitaasisi na Jamii kwa ujumla. Na Erick Mallya Shirika la UZIKWASA lililopo wilayani…

9 March 2023, 8:38 pm

UZIKWASA yaadhimisha Kipekee Siku ya Wanawake Duniani 2023

Katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya wanawake 2023 yenye kauli mbiu isemayo ‘Ubunifu na mabadiliko ya teknolojia, chachu katika kuleta usawa wa kijinsia’. Shirika la UZIKWASA kwa mara ya kwanza limetoa nafasi kwa kamati za mazingira kuonyesha…