Pangani FM

KILIMO

17 December 2025, 9:30 pm

Mkandarasi akaliwa kooni Geita

Katika mwaka wa fedha 2025/2026 walitengewa jumla ya kiasi cha Shilingi Bilioni 12.3 kwa ajili ya utekelezaji wa kazi za matengenezo ya aina mbalimbali ya barabara na madaraja Na Mrisho Sadick: Serikali mkoani Geita imetangaza rasmi kuanza kumkata fedha mkandarasi…

15 December 2025, 4:02 pm

ZAPONET kuimarisha uwezo wa wasaidizi wa sheria Zanzibar

Na Mary Julius. Mtandao wa Jumuiya za Wasaidizi wa Sheria Zanzibar, ZAPONET, umeanzishwa kwa lengo la kuzijengea uwezo taasisi zinazotoa huduma za msaada wa kisheria Unguja na Pemba ili ziweze kujisimamia na kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi. Akizungumza wakati wa…

8 December 2025, 8:49 pm

Iringa kuadhimisha miaka 20 ya mahakama

Kauli mbiu ya Mahakama ya Tanzania Kanda ya Iringa inasema siku zote ni uadilifu  ueledi na uwajibikaji. Na Joyce Buganda Ikiwa tupo katika wiki ya maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama Kuu Tanzania kanda ya Iringa, Wananchi Mkoani Hapa wametakiwa…

5 December 2025, 2:25 pm

Ufaulu darasa la saba Nyang’hwale wapaa

Changamoto zilizokuwa kikwazo mwaka Jana ikiwemo wazazi kuwalazimisha watoto kufeli, ukosefu wa chakula shuleni pamoja na baadhi ya wadau kutowajibika ipasavyo. Na Mrisho Sadick: Ufaulu wa mtihani wa darasa la saba katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita umeongezeka kutoka asilimia…

5 December 2025, 2:03 pm

Moto wa ajabu wateketeza samani za ndani Geita

Hakuna madhara ya kibinadamu kwakuwa jitihada kubwa zilifanyika kuuzima moto huo kwa kushirikiana na majirani. Kale Chongela: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vitu vya ndani katika chumba cha Bw. David Pankras, mkazi wa Mtaa wa Nyantorotoro A Kata ya…

3 December 2025, 7:18 pm

Mapambano ya ugonjwa wa sikoseli yaanza Geita

Mradi huo utatekelezwa kwa miaka miwili, utatoa huduma ya upimaji, utoaji wa bima za Afya kwa watoto zaidi ya 300 ambao hawana uwezo wa kumudu matibabu. Na Mrisho Sadick: Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kuimarisha mapambano dhidi ya…

2 December 2025, 4:29 pm

Miundombinu ya elimu yaendelea kuboreshwa Dodoma

Kupitia mapato ya ndani ya halmashauri ya jiji la Dodoma, serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga matundu ya vyoo, madarasa na maabara, lengo ni kuwapatia wanafunzi mazingira salama wezeshi ya kujifunzia. Na Lilian Leopold. Timu ya Menejimenti ya…

1 December 2025, 2:14 pm

Serikali kusimama na vijana waliohitimu VETA Geita

Changamoto mbalimbali zinazokabili chuo hicho ikiwemo ukosefu wa uzio unaohatarisha mali za chuo, upungufu wa zana za kisasa za mafunzo. Na Mrisho Sadick: Taasisi za serikali na zile za binafsi wilayani Geita zimetakiwa kuwapa kipaumbele vijana waliohitimu mafunzo ya Ufundi…