Pangani FM
Pangani FM
7 December 2025, 12:45 pm
Mhe Aswege Enock Kaminyoge ameitaka halmashauri kuandaa mafunzo kwa madiwani hao ili kuwakumbusha majukumu yao kwa mujibu wa miongozo sheria na kanuni za kudumu za halmashauri. Na Adelinus Banenwa Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Bunda limemchagua Mhe Renatus…
5 December 2025, 2:03 pm
Hakuna madhara ya kibinadamu kwakuwa jitihada kubwa zilifanyika kuuzima moto huo kwa kushirikiana na majirani. Kale Chongela: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vitu vya ndani katika chumba cha Bw. David Pankras, mkazi wa Mtaa wa Nyantorotoro A Kata ya…
1 December 2025, 7:49 pm
Na Mary Julius. Zaidi ya wageni 150 hadi 400 wanawasili katika hifadhi ya taifa ya Mikumi kwa siku kupitia Kiwanja cha Ndege cha Kikoboga kutokana na uboreshaji wa kiwanja hicho, uliofanywa na TANAPA. Afisa Uhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi ya taifa…
29 November 2025, 10:09 pm
Na Mary Julius. Uwepo wa treni ya mwendokasi pamoja na maboresho ya viwanja vya ndege katika eneo la Hifadhi ya Taifa ya Mikumi umechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la watalii wanaotembelea hifadhi hiyo. Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Kanda ya Mashariki, Fredrick…
29 November 2025, 2:42 pm
Katika mjadala tumechambua nini maana ya habari za uongo ,madhara ya habari za uongo ,huku tukitazama namna jamii inavyoweza kutumia njia mbalimbali kuthibitisha habari ili kuepuka madhara Na Catherine Msafiri Hili ndilo swali tulilojadili katika kipindi cha jumamosi kilichowapa nafasi…
26 November 2025, 12:59
Watumishi wa Mkoani Kigoma wamepongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa kuboresha huduma zake za kuanza kutoa huduma kidijitali Na Emmanuel Matinde Maafisa Utumishi na Wahasibu kutoka taasisi mbalimbali za Serikali wametakiwa kutumia mifumo ya…
25 November 2025, 12:34
Wavuvi katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma wamelalamikia matukio ya kuvamiwa na kuporwa zana za uvuvi ambapo wameiomba Serikali kuchukua hatua ili kudhibiti uhalifu na wahalifu wanaofanya matukio hayo ya wizi kwa wavuvi wakiwa katika majukumu yao nyakati za usiku. Na…
24 November 2025, 14:34
Wakristo wameaswa kufanya kazi kwa bidii na kuacha utegemezi Na Prisca Kizeba Waumi wa Dini ya Kikristo Katika Manispa ya Kigoma Ujiji wameaswa kufanya kazi ili waweze kuepukana na utegemezi na kujiletea maendeleo yao binafsi na kanisa kwa ujumla. Hayo…
23 November 2025, 7:51 pm
Mamlaka hiyo ya maji inakwenda kutatua changamoto kubwa ya maji inayokabili chuo hicho na jamii ya wakazi wa kisangwa kwa muda mrefu. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha shilingi milioni moja na laki nane kimepatikana katika mahafali ya 41 chuo cha…
20 November 2025, 7:55 pm
Usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa UVIDA una athari nyingi ambapo ni pamoja na gharama kubwa ya matibabu, hatari ya ugonjwa wa figo n.k Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa jamii kuhakikisha wanamaliza dozi za dawa wanazokuwa wamepewa…