Pambazuko FM Radio

Kilimo

17 December 2025, 9:30 pm

Mkandarasi akaliwa kooni Geita

Katika mwaka wa fedha 2025/2026 walitengewa jumla ya kiasi cha Shilingi Bilioni 12.3 kwa ajili ya utekelezaji wa kazi za matengenezo ya aina mbalimbali ya barabara na madaraja Na Mrisho Sadick: Serikali mkoani Geita imetangaza rasmi kuanza kumkata fedha mkandarasi…

16 December 2025, 9:29 pm

Masheha Zanzibar wapewa jukumu la kusukuma usajili wa ZHSF

Na Mary Julius. Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF), Khalifa Hilal Muumin, amewataka Masheha kote Zanzibar kuimarisha utoaji wa elimu kwa wananchi katika shehia zao kuhusu Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF),…

1 December 2025, 7:20 pm

SMZ kuongeza bajeti ya afya kwa wanaoishi na VVU

Na Mary Julius. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itahakikisha  inaongeza Bajeti katika kusimamia utoaji wa huduma za afya kwa watu wanao ishi na virusi vya ukimwi ili kuimarisha upatikanaji wa huduma hizo kwa uhakika hayo yamebainishwa na Makamu wa…

18 November 2025, 12:02 pm

Kikao cha moto kati ya Jeshi la polisi na Bodaboda Geita

Jeshi la polisi limewataka waendesha Bodaboda mkoani Geita kuepukana na matukio yanayoweza kuhatarisha usalama wa maisha yao. Na Edga Rwenduru: Jeshi la polisi mkoani Geita limetoa maelekezo kwa umoja wa waendesha pikipiki mkoa wa Geita kuhakikisha wanasimamia  sheria ndogo ndogo…

14 November 2025, 8:33 pm

SMZ yaahidi kuimarisha huduma kwa wagonjwa wa kisukari

Na Mwandishi wetu SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha ustawi wa watu wanaoishi na changamoto za ugonjwa wa kisukari unaimarika. Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya, Dk. Salim Slim, amesema hayo wakati akifungua kongamano…

11 November 2025, 4:55 pm

Barabara za TACTIC Geita mjini kukamilika mapema mwaka kesho

Mkandarasi wa mradi huo hatapewa muda wa nyongeza baada ya siku 100 kukamiliza mapema mwezi wa pili mwaka kesho. Na Mrisho Sadick: Wananchi wa Mtaa wa Mwatulole Manispaa ya Geita Mkoani Geita wameiomba serikali kuendelea kumsukuma mkandarasi anayetekeleza mradi wa…

5 November 2025, 19:08 pm

Wadau wanashiriki vipi kutatua changamoto za watu wenye ulemavu

Tutahakikisha elimu jumuishi inatekelezwa kwa vitendo ili kutatua changamoto zinazowakabili wanafunzi wenye ulemavu na kuboresha kiwango cha elimu mkoani Mtwara Na Msafiri Kipila Shirika lisilo la kiserikali Sport Development Aid (SDA) kwa kushirikiana na Jamii FM, linaendelea kuhimiza jamii kuwashirikisha…

October 29, 2025, 12:35 pm

Manyara hali ni shwari zoezi la upigaji kura

Picha ya mkuu wa mkoa wa manyara Queen Sendiga akiwa tayari amepiga kura Wananchi wilaya ya Babati wamejitokeza katika vituo vyao walivyojiandikishia kwa ajili ya zoezi la kupiga kura Na Linda Moseka Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga mapema…

October 28, 2025, 2:17 pm

80,910 kupiga kura jimbo la babati mjini

Picha ya msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati Mjini Simon Mumbee Wananch wametakiwa kufanya uhakiki mapema wa majina kwenye vitio walivyojiandikishia kabla ya kuingia kwenye vyumba vya kupigia kura tarehe 29 oktoba 2025 Na Kudra Massaga Jumla ya wapiga kura…